Hawa ndio wanaotaka tuwape uongozi?

Hawa ndio wanaotaka tuwape uongozi?

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
Jumanne wiki ijayo Benki ya Dunia inakusudia kuidhinisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 500 kwa serikali ya Tanzania. Mkopo huu nia yake ni kuboresha elimu kwa wasichana ili waweze kupata elimu ya sekondari.

Kumejitokeza kikundi cha wanaojiita CONCERNED CITIZENS OF TANZANIA CIVIL SOCIETY wameandika barua kuomba Benki ya Dunia isitoe mkopo huo kwa serikali ya Tanzania mpaka eti iruhusu wanaobeba mimba mashuleni waendelee kukaa madarasani.

Pia sababu nyingine ni kupinga kauli ya Raisi kuwa watu waachane na mpango wa uzazi. Sababu nyingine ni tamko la serikali kupinga ushoga eti ni kuingilia uhuru na haki za mashoga!

Wanadai kuzaa bila uzazi wa mpango ni mbaya kwa wanawake! Eti kuipa Serikali ya Tanzania mkopo huu itakuwa benki ya Dunia imeshiriki kuwadhalilisha wanawake! Wanadai kauli ya Rais imesababisha wanawake kushambuliwa nchini Tanzania. Walioandika barua hii wameomba majina yao yasitajwe!
Benki ya Dunia imesema haiwezi kuamua ombi hili inasubiri kikao cha Bodi jumanne.

Ikumbukwe kuwa mwezi September 2019 watu hawa hawa walipinga mkopo wa dola 450 milioni lakini Benki iliutoa ili kusaidia juhudi za serikali kupambana na umasikini (poverty reduction) na iliwaeleza hawa kuwa serikali inashughulikia malalamiko yao.

Kikundi hiki kinadai toka serikali ipewe dola 450 milioni haijarekebisha malalamiko yao. Katika lalamiko la huo mkopo wa September Zitto Kabwe aliandika barua binafsi kuelezea kutoridhishwa kwake.

Sehemu moja ya barua yake ambayo aliituma kwa siri na kuomba isionyeshwe anasema hivi “Regrettably, it appears the bank’s approval of the . . . project in September only emboldened this government,” (mwisho wa kunukuu). Barua hii aliituma kwa siri Kwa gazeti la FT (gundua mwenyewe).

Katika barua hiyo Zitto Kabwe ameibua suala la Kabendera kuwa kushikiliwa kwake ni ishara kuwa serikali haijajirekebisha hivyo haistahili kupewa mkopo wa milioni 500 jumanne ijayo. Zitto pia ameibua suala la uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kudai kuwa serikali ndiyo iliwaengua wao hawakususa! Anadai serikali ya CCM ni ya watu wachache na imepoteza uhalali wa kutawala Kwa hiyo haistahili kukopeshwa.

Kwa hiyo huhitaji kukuna akili kujua hiki kikundi kinachojiita CONCERNED CITIZENS OF TANZANIA CIVIL SOCIETY ni kina nani.

Napendekeza serikali imuite Zitto imhoji. Haiwezekani mtu mmoja au kikundi cha watu wachache wafanye jitihada kukwamisha maendeleo ya wengi. Hivi sio kosa mtu kuandika barua kama iliyoandikwa na hiki kikundi na ile ya Zitto? Hii haiangukii kosa la uhujumu uchumi?

Wahusika walijidanganya kuwa barua zao zitakuwa siri. Wanachosahau ni kuwa uliandika barua ukaituma duniani usiri unatoweka! Wapo wenye nia njema na Tanzania! Hakuna Siri! Sasa barua zao sio siri tena.

Serikali iziite hizo asasi zikizojiorodhesha na iziadhibu ipasavyo ili vitendo hivi vya kihaini vikome.
Ninaamini kabisa Jumanne ijayo Bodi ya Benki ya Dunia itaidhinisha mkopo WA dola milioni 500 ili wasichana wawezeshwe kupata elimu ya sekondari.

Ni vyema pia wapiga kura wakaelezwa jinsi ambavyo wanaotaka kura zao wanavyohujumu maslahi yao nje ya nchi. Hivi anayeumia ukipinga mkopo wa kusomesha wasichana au mkopo wa kupunguza umasikini ni Magufuli? Ni CCM? Sio wasichana na masikini nchini Tanzania?

Hawana huruma na wananchi. Hivi mashoga wanathamani kwao kuliko wasichana na masikini? Hivi Kabendera ana thamani kuliko mamilioni ya watoto wa kike wa watanzania?

Hawafai kuwapa kura!
ONYO: ukinakili ukajifanya ni makala yako na huna hizo barua ukikabwa usinifuate.
 
Msimamo wa WB hauna tofauti sana na yalosemwa na outgoing rep kwenye interview na Citizen. Link ni hii

Mengine ni frivolous
 
World Bank,saidia babaaaaaaa.
tapatalk_1547097406537.jpeg

dodge
 
Mliowapa uongozi wamenunua Helcopter 13 kwa ajili ya ulinzi wao Binafsi wakati nyie Malofa watoto wenu wanakaa 200 per class bila matundu ya vyoo Mpaka wasubiri Mkopo wa World Bank

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Acha kujidhalilisha....tajiri hawezi kulilia mkopo...tajiri ananunua kwa cash!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kuwa suala hili sasa linafanywa mjadala na watu wajinga (kama mtoa mada), wapuuzi na wenye kiwango cha chini sana cha uelewa.
Suala hili limeanza muda, na kama lingekuwa halina ukweli ndani yake WB wasinge lichukilia maanani.
Hizo hadithi za ushoga imekuwa ndio pa kuchomekea ili kuleta ushawishi kwa wajinga wenzenu.
Kama mmedhibitisha kuwa huko CCM ndiko kumejaa watu wa kupokea ujinga na kuamini ungeandika huu upuuzi na kuupeleka huko, hapa ni home of GT

Hii comment bora kabisa. Imekuwa kawaida ya wanaCCM kudhani kuwa mawazo yao ndiyo msimamo wa nchi. CCM ni kikundi cha watu wachache miongoni mwa Watanzania zaidi ya 55m ambao zaidi ya 45m si wanaCCM. Sasa kuleta fikra za kijani kwa mambo mtambuka kama hili ni kutotutendea haki tusioamini katika ukiritimba wa Vyama. Wamekuwa na kawaida ya kuchomeka hoja dhaifu dhaifu ili kuvuta watu wakidhani wote ni mbumbumbu kama wao. Wengine tunajitambua wala hawawezi kutuburuza kwa dhana dhania ya ushoga. Tulisema tangu awali kuhusu mimba za utotoni, sheria zetu na katiba zinamtambua mtoto kama mtanzania anayeishi kitegemezi kwa watu wazima na hivyo anapokosea adhabu yake inatakiwa izingatie utoto wake na kwamba kosa analotenda Mara nyingi kama si zote linatokana na uchanga wa akili yake. Makosa ya jinai wana exceptions, vitambulisho vya Taifa wana exceptions, usajili wa simu wana masharti tofauti chini ya wazazi/walezi. Lakini wanapobeba mimba tunataka wawe watu wazima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom