Majukumu tu yalizidi. Hapa nina usingizi wa miezi 3
Wakuu salama humu? Kama Mungu kakupitisha salama kwenye sikukuu hii basi mshukuru.
Jana ilikuwa boxing day..kama hukupata cha kufungua basi bila shaka ulifungua mlango au dirisha kama mimi.
Back to topic..nimewamiss sana humu mjengoni. Nimekuja na zawadi kadhaa hapa..japo sikukuu imepita lakini sio mbaya ukajipatia boksi lako hapa. Hata hivyo ili msigombanie ngoja nitoe moja kwa wana budget wenzangu.. Hili hapaa.....(mwakani hakuna kununua calender..tumia ya 2003 au 1986....zinafanana na 2014...)
Mfikishie boksi hili mtu mmoja. Mimi naanza na Mamndenyi
Mabox mpaka leo?
`asante nshakaribia`karibu dhana...lol
Adhante dhana@M.E.M.A
Wakuu salama humu? Kama Mungu kakupitisha salama kwenye sikukuu hii basi mshukuru.
Jana ilikuwa boxing day..kama hukupata cha kufungua basi bila shaka ulifungua mlango au dirisha kama mimi.
Back to topic..nimewamiss sana humu mjengoni. Nimekuja na zawadi kadhaa hapa..japo sikukuu imepita lakini sio mbaya ukajipatia boksi lako hapa. Hata hivyo ili msigombanie ngoja nitoe moja kwa wana budget wenzangu.. Hili hapaa.....(mwakani hakuna kununua calender..tumia ya 2003 au 1986....zinafanana na 2014...)
Mfikishie boksi hili mtu mmoja. Mimi naanza na Mamndenyi
Huo wa pozi la usingizi..
Haya karibu tena na tena tufungue milango.