Sasa kumbe mambo ya Twitter aka X sio kweli bali tunapigana fix? Hivi ni nani mtunga hizi tungo tata aliyefeli namna hii kuigiza? Apelekwe Bagamoyo akapigwe refresher course kidogo.
Tulidhani fix za aina hii za muuza mahindi ya kuchoma asiyetambulika eneo hilo na kiunoni ana mambo nyeti akimuuzia mwamba mahindi zishapitwa na wakati kumbe zomerudi?
Au haya ni mawazo ya mwenezi baada ya kurudi toka huko bush? View: https://youtu.be/rbCe43y1Z50?si=UNU7JzhlckiZERpI