Hata chanjo ni siasa Only in Tz

Andrew Mushi

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
630
696
Yale Yale na sisi tutakwenda nayo hivyo hivyo, sasa hii tuiite nini, waungwana tusaidiane

bc95c70efdd8a2eeb92319258fd96e08.jpg


World health organisation ambao ndio wanatoa taratibu ya maradhi ya kuambukiza kama haya, na nini kifanyike,

Wamesema wazi sasa chanjo yako iko sawa kwa maisha yako yote, huna haja ya kudungwa booster baada ya mwezi June 2006,

1f6d11496227e1ae617cc1118de9d2e4.jpg

WHO | World – Yellow fever vaccination booster




Serikali yetu inakwambia badili mtindo wa vyeti, uje na buku 5, nimechanganyikiwa!

Wajuzi na waganga hebu tupeni dondozi ya umuhimu wa hili zoezi,
 
Back
Top Bottom