Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,944 Jul 14, 2011 #1 View attachment 33869 Hapa kuna ukweli...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,719 Jul 14, 2011 #2 naona kama vile snake, napita njia.
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,944 Jul 14, 2011 Thread starter #3 Mamndenyi said: naona kama vile snake, napita njia. Click to expand... hujakoxea...ndo anajivua gamba ati...
Mamndenyi said: naona kama vile snake, napita njia. Click to expand... hujakoxea...ndo anajivua gamba ati...
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,189 Reaction score 8,989 Jul 14, 2011 #4 Njaa za wana Igunga zitawaua,wote mtapita lakini Igunga itakuwepo,kwa hiyo hizo njaa zenu hazitaisha kwa kubeba mabango ,kuzimia na kulia,kama mnampenda mfanyeni Raisi wenu
Njaa za wana Igunga zitawaua,wote mtapita lakini Igunga itakuwepo,kwa hiyo hizo njaa zenu hazitaisha kwa kubeba mabango ,kuzimia na kulia,kama mnampenda mfanyeni Raisi wenu
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 825 Jul 14, 2011 #5 ccm wamejivua gamba wamekuwa TANU.
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Jul 14, 2011 #6 akijivua gamba ndo anakuwa munoma mazee!
G geophysics JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 904 Reaction score 167 Jul 14, 2011 #7 Hata akijuvua gamba......ni nyoka tu.... Gamba lingine litaota tena