Hassan Marin wa TBC hafai kwenye TV

Nimemwangalia mara nyingi sana Hassan Marin wa tv ya TBC akuwahoji watu akionyesha mkao wa dharau na kutoonyesha interest yoyote wala heshima kwa anaowahoji. Body language yake iko negative kabisa na maswali yake hayako ingaging. Unahitaji kuwa mvumilivu sana kuongea na huyu mtu. Sasa hivi anaongea na mkemia mkuu wa serikali ambaye ni profesa lakini Marin kakunja nne na kumtambulisha as if the professor is a nobody.
Anatakiwa arekebishwe au aondolewe hapo

Uko sawa kabisa. Binafsi nshahojiwa naye kwenye kipindi cha asubuhi ; jamaa anakuuliza kama hataki vile na kama hayuko interseted na alichouliza...
 
Marin ni kati ya watangazaji mahiri kabisa ndani ya tanzania. Pia ana uelewa mpana sana, TBC ina waandishi makini wengi.

Tuwe makini kabla ya kuleta hoja hapa. Tuheshimu kazi za wenzetu, na tbc ni chombo chetu cha taifa.
Kweli mkuu na mleta hoja inaelekea ana heshima kwa kundi maalumu la watu wakati katiba inatuambia binadamu wote ni sawa, sasa yeye anasema "Sasa hivi anaongea na mkemia mkuu wa serikali ambaye ni profesa lakini Marin kakunja nne na kumtambulisha as if the professor is a nobody."which means kama asingekuwa anaongea na prof ni sawa kutokana na pozi alilopiga ila kwa prof hakustahili. Hii kumuhoji mtu huku kila dakika unatakiwa kutaja mheshimiwa sijui kunafanya watangazaji mpaka wanapoteza hata nini alitakiwa kuhoji na mbaya zaidi hao wanaonyenyekewa kwa uheshimiwa ukiangalia file lake la miaka 5 nyuma utagundua alikuwa wa kawaida ila majukumu tuliyompa wananchi yamemfanya aitwe mheshimiwa. Kuna haja mtu aitwe mheshimiwa kutokana na kile alichofanya kwenye jamii kwa juhudi zake mwenyewe kama mkulima stadi, fundi mitambo mahiri, mlina asali maarufu, hata mwanasiasa ila mwenye tija kutokana na fursa. Marin piga kazi kwani huwezi kupendwa na kila mtu
 
Nimemwangalia mara nyingi sana Hassan Marin wa tv ya TBC akuwahoji watu akionyesga mkao wa dharau na kutoonyesha interest yoyote wala heshima kwa anaowahoji. Body language yake iko negative kabisa na maswali yake hayako ingaging. Unahitaji kuwa mvumilivu sana kuongea na huyu mtu. Sasa hivi anaongea na mkemia mkuu wa serikali ambaye ni profesa lakini Marin kakunja nne na kumtambulisha as if the professor is a nobody.
Anatakiwa arekebishwe au aondolewe hapo
Poor Marin, ni mtu mwenye general knowledge hivyo hawezi kuwa na uwezo wa kuwa na maswali ya kina kwa kila sector, ni vizuri ajifunze kuwaachia wengine wenye uelewa mzuri kuhusu kitu fulani ndio wakafanya mahojiano. Siasa yeye, uchumi yeye, ukemia yeye, maendeleo ya jamii yeye, elimu yeye, usalama yeye, kila kitu.
 
Hoja za aina hii hazina maana,ni chuki binafsi. create mambo ya maana si chuki zisizo na maana. marin ni mtangazaji mzuri. angalia tv station za kimataifa utaona pia wanawahoji watu while wamevunja nne.
 
Naungana mkono na wewe. Hawa jamaa wana chuku binafsi. Unaweza kumfananisha Mrin na nani TZ hii katika suala la uandishi na utangazaji?

Marin ni kati ya watangazaji mahiri kabisa ndani ya tanzania. Pia ana uelewa mpana sana, TBC ina waandishi makini wengi.

Tuwe makini kabla ya kuleta hoja hapa. Tuheshimu kazi za wenzetu, na tbc ni chombo chetu cha taifa.
 
Chuki zenu binafsi... Marine wa TBC yuko kamili gado na hakuna tatizo lolote la muonekano wake wala utangazaji wake inaonekana adhiyenu mnachuki binafsi ambazo hazina kichwa wala miguu sasa mlitaka awe anarukaruka kwenye kiti au asikunje nne? acheni ushamba hebu angalieni vyombo mbalimbali vya habari duniani muone jinsi watangazaji wanavyokuwa wanatangaza bila hofu... kumbuka utangazaji sio kubeba zege .Marine chapa mzigo humu kuna waliotumwa na wasio jua walitendalo wala wanaloliongea....
 
Mbona kila siku mnaikejeli tv ya Taifa?

No coincidence, there must be something wrong. Improvements are needed, taking into consideration that TBC is using our (including u) tax. Critisism will make them better, but if they take them positively.
 
Marini Hasan ni mzuri na ni gwiji wa Documentary na habari. Wasiomtaka ni wa nafki!. Binafsi namkubali.
 
marin ni mzuri,alitakiwa awe BBC,CNN,CCTV,DW n.k.! Kwani wanaompinga wanasemaje?
 
Duh marin m ckujua kama yupo hvyo bt binafsi namkubal, hasa akiwepo asb ila cjawhi mtazma akiwa kwenye vipindi vingine, kimsingi yupo vizr, kunamwingine hvi huwa mzee nae huwa anapambazua, yaan nkifungua nkamkuta yy nafunga na tv kabsa! Maana huwa nahisi kama ananfulugia cku.
 
Marin Hassan Marin. Bonge la mtangazaji, unataka ahoji mtu kama anaomba ajira kwa muhindi? Toa upuuzi wako hapa
 
Back
Top Bottom