bintimrembo
Member
- Jul 11, 2018
- 30
- 79
Du!Mbona username yako tayari inatueleza kwa nini huoni shida kumwambia mtu tuachane.....ungekuwa ng'ong'ozo wala usingekuwa na jeuri hiyo
Ndio ukwwli huo...ukiwa mzuri sii unajua kesho tuu nitatongozwa🤣🤣🤣🤣
Sio kweli bhana! Ila asante kwa ujumbe wakoNdio ukwwli huo...ukiwa mzuri sii unajua kesho tuu nitatongozwa
Jifanye mjinga uinjoi maisha mdogo wangu!Hello love, nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo, naomba mnisaidie jaman jinsi ya kukabiliana na hasira, i broke up with 2 relatioship kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex mfano sion shida kumwambia mtu tuachane zen naanza kuumia mwenyewe, nikijaribu kurud nakuta block kubwa yaan kufuli la kubwa sana, nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira, nisaidien nipone
Madongo nimezoea na ww pia unakaribishwa
Unamaanisha nisihoj chochote hata kama kibayaJifanye mjinga uinjoi maisha mdogo wangu!
Jitahidi pia U behave kike
Sasa si unipe namba yako dear?Sio kweli bhana! Ila asante kwa ujumbe wako
Huwezi kukubali hapa kwa sababu hutaki kuonekana una maringo au unajisikia but deep down u know its trueSio kweli bhana! Ila asante kwa ujumbe wako
Binafsi sina maringoHuwezi kukubali hapa kwa sababu hutaki kuonekana una maringo au unajisikia but deep down u know its true
Hili jibu tu tayari limenionyesha kwamba wewe ni mwanamke wa aina gani, and mwisho wa siku utakuja kuanza ku behave kike ukiwa tayari umesha choka na ushakulwa sana na mijamaa hata kufikia kuuroboa toboa moyo wako na usipate kupona majeraha tena.Unamaanisha nisihoj chochote hata kama kibaya
Hoji kwa ustaarabu, wanaume huwa hatupendi kelele zenu.Unamaanisha nisihoj chochote hata kama kibaya
Asante kakaHoji kwa ustaarabu, wanaume hatupendi kelele zenu.
Sasa why ukikorifishana kidogo tuu unakimbilia kusema basi tuachaneBinafsi sina maringo
Utaniuwa jaman kwa maneno haya, i promise nitabadilika kwa matendo na utakuja kwa harus yanguHili jibu tu tayari limenionyesha kwamba wewe ni mwanamke wa aina gani, and mwisho wa siku utakuja kuanza ku behave kike ukiwa tayari umesha choka na ushakulwa sana na mijamaa hata kufikia kuuroboa toboa moyo wako na usipate kupona majeraha tena.
Huwa napenda aman nikiona hatuko vizur huwa nahis nimechokwa zen najikuta nimesema iviSasa why ukikorifishana kidogo tuu unakimbilia kusema basi tuachane
Hili ni kosa lingine namba mbili, kumbe unatamani HARUSI na SIO NDOA..🤣Utaniuwa jaman kwa maneno haya, i promise nitabadilika kwa matendo na utakuja kwa harus yangu
Kama wapenda amani kwa nini usianze kuchunguza hiyo mifarakano inatokana na nini maana sine ukawa unawalaumu wanaume kumbe tatizo lipo kwakoHuwa napenda aman nikiona hatuko vizur huwa nahis nimechokwa zen najikuta nimesema ivi