Hasira za wanawake mbaya sana

Demi unavyokoment duuuh

It's clear bwana wako siku akijichanganya analo...mhhh,Yani unatia hasira kinyama

Mnatuogopesha sisi tunaotaka kuoa,nasijui tutaoa lini duuuuh.....Dunia hii,MUNGU tusaidie
[emoji3][emoji3] oa tu bwana, maisha hayafanani. Ukizingatia mastory ya watu humu jf kuhusu ndoa utaharibikiwa. Oa tu mdogo wangu..and am sure hutapata mwanamke pasua kichwa kama mimi.
 
Lini mtagombana hukoo bebe demi?
Tatizo siku hizi sina genye na mwanaume mwingine...sijui ndo mid-life crisis ama vipi.
Hata nigombane vipi silipizi kwa mtindo huo.
 
Nimepigia mstari hili neno

"Waliotoka wote"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…