Endelea kukariri hivyo hivyoMwanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja sio swala la kustaajabisha katika jamii. Ila mwanamke kimilikiwa na mwanaume zaid ya mmoja ni kukiuka maadili.. afu mkunyege ni kama mwiko mwenzio akitoka kuupikia anauosha ukirudi nyumban nako unapikiwa
Kwaiyo kwenye hili napo mnataka haki sawa..!Endelea kukariri hivyo hivyo
Wanawake ni wapweke sana unadhani kwa nini wanataka haki kwa sababu wanaona jinsi jinsia Me tuvyofaidi.Kwaiyo kwenye hili napo mnataka haki sawa..!
Hii mada haihusu haki sawa. Ni kihisia zaidi..so kama mnatupangia hisia zetu ziende vipi ni sawa endeleeni kukariri.Kwaiyo kwenye hili napo mnataka haki sawa..!
Akikusaliti ukagundua niambie😜Inapunguza maumivu.
Ha haaa nishavuka hiyo stageAkikusaliti ukagundua niambie[emoji12]
Waoo upo stage ya kwenda kushitaki kwa wazee eh?😆Ha haaa nishavuka hiyo stage
Kushtaki kwa wazee ni stage ya mwazo kabisa. Ukikomaa hakuna cha wazee wala nini. Akili kumkichwa...utashtaki mangapi?Waoo upo stage ya kwenda kushitaki kwa wazee eh?[emoji38]
Nimeipenda hapo kwenye akili kumkichwa, so ndo kujipooza machungu nawe unatafuta wako au unaenda kumfunga kwa babu akitaka atoke isisimame?😆Kushtaki kwa wazee ni stage ya mwazo kabisa. Ukikomaa hakuna cha wazee wala nini. Akili kumkichwa...utashtaki mangapi?
hataenda kwa mama yake huyo mojakamoja kwakoNikija gundua ata pelekwa kwa mparange Kama wiki hivi then anakula taraka tatu af aende kwa mamake huko wakafundane upya
Mimi silazimishi kukaa na mume,nikiona sitakiwi nakaa mbali kiroho safi. Kama ananitaka sana basi afanye juu chini kutonipoteza. Siendi kumfunga kwa babu wala kutafuta wa kunipooza kwaajili ya kutuliza machungu.Nimeipenda hapo kwenye akili kumkichwa, so ndo kujipooza machungu nawe unatafuta wako au unaenda kumfunga kwa babu akitaka atoke isisimame?[emoji38]
Haha hapo ndo kashakuzalisha watoto wanne je msimamo wako utakuwa huo my dear?Mimi silazimishi kukaa na mume,nikiona sitakiwi nakaa mbali kiroho safi. Kama ananitaka sana basi afanye juu chini kutonipoteza. Siendi kumfunga kwa babu wala kutafuta wa kunipooza kwaajili ya kutuliza machungu.
Kiufupi ahakikishe hanipotezi..akilegeza basi napotea..sina cha kupoteza.
Jibu watakuwa nalo waliozalishwa watoto wanne na ambao hawawezi kuwatunza wenyewe.Haha hapo ndo kashakuzalisha watoto wanne je msimamo wako utakuwa huo my dear?
Wanawake wote wangekuwa na misimamo kama yako wanaume tungenyooka na tusingejidai kabisa.Jibu watakuwa nalo waliozalishwa watoto wanne na ambao hawawezi kuwatunza wenyewe.
Kiufupi mume anitake na sio mimi nimng"ang'anie..naishi kwa principle hiyo na sio kila mtu anaiweza.
Sio rahisi. Inategemea na mambo mengi. Kwa situation yangu naweza kufanya hivyo. Alie nioa apambane nisiondoke...akiamua kuniacha yote kheri..moyo wangu mweupeee unakubali hali yoyote.Wanawake wote wangekuwa na misimamo kama yako wanaume tungenyooka na tusingejidai kabisa.
Hujapenda wewe Demi😆😆Sio rahisi. Inategemea na mambo mengi. Kwa situation yangu naweza kufanya hivyo. Alie nioa apambane nisiondoke...akiamua kuniacha yote kheri..moyo wangu mweupeee unakubali hali yoyote.
Mke kazi yake ni kutii na sio kupenda. Kupenda ni kazi ya mume.Hujapenda wewe Demi[emoji38][emoji38]
Yaonekana mnaishi pamoja kwasababu ndoa unachukulia kama utamaduni tu na sio mapenzi ya kutoka moyoni yaliyowaunganisha.
Nimekosa la kukwambia my dear kwasababu hilo ndio agizo🥰Mke kazi yake ni kutii na sio kupenda. Kupenda ni kazi ya mume.
Enyi waume wapendeni wake zenu...( Biblia inasema)