Acheni uzinzi.Yani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja kukusalimia geto analeta swaga za mapenzi, then baadae ndo unakuja kujua kumbe aligombana na mtu wake au mume wake kabisa
Nishapiga sana kwa style hiiYani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja kukusalimia geto analeta swaga za mapenzi, then baadae ndo unakuja kujua kumbe aligombana na mtu wake au mume wake kabisa
Kazana na mapishi... Waache wazinifuAcheni uzinzi.
Nyie mnajutaga?sio vizuri, hamji kujutaa baada ya ugonvi kuisha?
Doesn't matter. Ni vile mtu anavyojisikia yeye sio wewe unavyomuona.Mambo ya 50/50
Nakuona Demi unasema kwani nyie mnajutaga.
Tofauti Kati ya kuchakata na kuchakatwa
Nikija gundua ata pelekwa kwa mparange Kama wiki hivi then anakula taraka tatu af aende kwa mamake huko wakafundane upyaYani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja kukusalimia geto analeta swaga za mapenzi, then baadae ndo unakuja kujua kumbe aligombana na mtu wake au mume wake kabisa.
Si mpaka ugundue?Nikija gundua ata pelekwa kwa mparange Kama wiki hivi then anakula taraka tatu af aende kwa mamake huko wakafundane upya
Hakuna maisha bila kukwazana mkuuHaki unanifanya niwe na woga sana na wakwangu pia, sasa kuna maisha bila kukwazana?
Kabisaaaah yaan.Sio kwa wanawake tu hata wanaume wanaona solution ya kusolve ugomvi au kumkomoa mwenzi wake ni kuchepuka..ilihali ndo mtu anazid kuharibu...