T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,445 Reaction score 8,418 May 16, 2013 #1 Mmezidi kutuonea, sas ni zamu yenu kupata mkong'oto
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 May 16, 2013 #2 This is when enough is enough!!!!!!! Peoplessssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!:fencing:
P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 450 May 16, 2013 #3 Q Man said: Mmezidi kutuonea, sas ni zamu yenu kupata mkong'oto View attachment 93934 Click to expand... Thubutu uone......... Hawa wanajuana ni mtu na hawara yake......
Q Man said: Mmezidi kutuonea, sas ni zamu yenu kupata mkong'oto View attachment 93934 Click to expand... Thubutu uone......... Hawa wanajuana ni mtu na hawara yake......
Bahimba JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 510 Reaction score 346 May 16, 2013 #4 Mambo mengine bwana.
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 May 16, 2013 #5 Hebu siku ujaribu hapa bongo uone!! Weeee! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 May 17, 2013 #7 Kilichonifurahisha zaidi ni kuona kuwa anayeshambulia ni mwanamama ...
Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,042 Reaction score 74,751 May 17, 2013 #8 St. Paka Mweusi said: Kilichonifurahisha zaidi ni kuona kuwa anayeshambulia ni mwanamama ... Click to expand... Kama huyu hapa?
St. Paka Mweusi said: Kilichonifurahisha zaidi ni kuona kuwa anayeshambulia ni mwanamama ... Click to expand... Kama huyu hapa?
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 May 17, 2013 #9 Tatizo la wanandoa hilo........
gaurio Senior Member Joined Feb 18, 2013 Posts 154 Reaction score 19 May 17, 2013 #10 Q Man said: Mmezidi kutuonea, sas ni zamu yenu kupata mkong'oto View attachment 93934 Click to expand... kakudanganya nani jaribuni muone. hawa jamaa hawana chakupoteza.
Q Man said: Mmezidi kutuonea, sas ni zamu yenu kupata mkong'oto View attachment 93934 Click to expand... kakudanganya nani jaribuni muone. hawa jamaa hawana chakupoteza.
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,501 May 17, 2013 #11 msiwe waoga
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 4,070 Reaction score 3,517 May 17, 2013 #12 Nimeipenda hii kitu... Hii kitu ni sawa kabisa....
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 569 May 17, 2013 #13 Dotworld said: Click to expand... Hii kiboko..... chini chini ...
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 May 18, 2013 #14 Chakaza said: Kama huyu hapa? View attachment 94112 Click to expand... Duh, huyu kiboko yaani kamshikia ukuni kabisa ....
Chakaza said: Kama huyu hapa? View attachment 94112 Click to expand... Duh, huyu kiboko yaani kamshikia ukuni kabisa ....
mwakaboko JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 1,931 Reaction score 758 May 18, 2013 #15 Tusiwasifie hao wanaoshambulia polisi. Shambulizi hilo ktk picha ya kwanza kuna uwezekano jamaa hakulipa baada ya kupata huduma ya ....... halafu kamkimbia, sasa leo amepatikana ndiyo maana hajibu mashambulizi ila anakimbia ili kisa kisijulikane
Tusiwasifie hao wanaoshambulia polisi. Shambulizi hilo ktk picha ya kwanza kuna uwezekano jamaa hakulipa baada ya kupata huduma ya ....... halafu kamkimbia, sasa leo amepatikana ndiyo maana hajibu mashambulizi ila anakimbia ili kisa kisijulikane
Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,042 Reaction score 74,751 May 18, 2013 #16 St. Paka Mweusi said: Duh, huyu kiboko yaani kamshikia ukuni kabisa .... Click to expand... St. Paka Mweusi,sio Ukuni mkuu,amemshikia kuni. Kiswahili kirefu mkuu!
St. Paka Mweusi said: Duh, huyu kiboko yaani kamshikia ukuni kabisa .... Click to expand... St. Paka Mweusi,sio Ukuni mkuu,amemshikia kuni. Kiswahili kirefu mkuu!
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 May 18, 2013 #17 " People s Power " Mmmh jamenniii tena wanawake natoa heshima ! Samahani maRijali !!