Matege
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 1,476
- 648
naona nashingziwa huku mtani nitakunyima kile walichofanya nyau ujue
hahaaaaaaa.. jaman nimecheka leo. mshana jr ni kichaa. yule nyau ni kiboko aisee. ila walintamanisha
mimi nawaangalia kila saa hasa pale mwishone kumbe wanajifuta wakimaliza kama sisi . mshana jr bana aishi maisha marefu kama yangu
hahaaaaaaa.. nakufa mie. nilicheka mpaka watu wakaanza kunshangaa.. akili za mtani za asubuhi ni kiboko
mshana jr
Hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa Mungu wangu mbavu zangu....!!!! Kwa Leo imetosha thread closed kwaherini
Cc: Matege, miss chagga na nyau
Sifa chukuchuku hainogi jamani
Hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa Mungu wangu mbavu zangu....!!!! Kwa Leo imetosha thread closed kwaherini
Cc: Matege, miss chagga na nyau
Nimeongeza xtra time mtani usikimbie rudi
Wazulu wameshatua airport ukiweza tukawapokee
Usisahau dhawadi dha maua na naniliu