donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Tupia hapa picha ulizopiga Kwa camera yako ya simu...View attachment 1390242
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo anacheza chess na hao wazee, ana make move then anakuacha ufikirie . anahamia kwa mtu mwingine.Huwezi kuelewa hii picha... Ukielezea Kuna buku.View attachment 1390503
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo Genius, anacheza Chess na Mtu saba at a GoHuwezi kuelewa hii picha... Ukielezea Kuna buku.View attachment 1390503
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha naona kinu cha nuclear kilipata hitlafukidogo ila vijana w north korea kwa kim wakafix mamboMzigo si ukalipuka, ikabidi wautue chini na kuupoza kwa manuizi ya kichawi na kiganga Hadi Mzimu ukapoa Tena na kubebwa Hadi Dimba la lake tanyanyika kwenye kipute.
Kigoma nimewakubali uchawi wa Mwamgongo huu.View attachment 1390511View attachment 1390512View attachment 1390513View attachment 1390514
Sent using Jamii Forums mobile app