Nathason2
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 598
- 680
Ukurasa wa Facebook wa Gazeti la kila siku la mwananchi umepakia Video ikimwonesha Hashimu Rungwe akihoji Nchi imepindia wapi pamoja na mambo mengine Rungwe anaonesha kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja alichohudumu kama raisi,Raisi magufuli hajafanya lolote zaidi ya ndege na kwamba kununua ndege sio issue ya msingi.
Katika video Hiyo Rungwe anadai kuwa Nchi haijapinda kama ambavyo Raisi Magufuli amekuwa akihubiri badala yake yeye Raisi maagufuli anaongoza nchi kwa chuki binafsi ambazo hata hivo hajaziweka hadharani na badala yake katumia mafanikio ya serikali ya awamu ya nne kuhoji Nchi imepindia wapi?
Kwa namna Rungwe alivyowasilisha hoja zake ni dhahiri anamaanisha kuwa serikali ya Raisi Magufuli hajafanya lolote,anaongoza nchi kwa chuku,Kudai nchi hii ilifikia pabaya ni kuwahadaa wananchi na mambo mengine aliyoyasema kwenye Video hiyo.
Ni vyema sasa wasaidizi wa Raisi mkamjibu Rungwe swali lake la Msingi Nchi imepindia wapi ili dhamira ya Raisi wetu Mtukufu Ipate kueleweka vyema miongoni mwa wananchi,kuiacha hoja hii ya rungwe bila majibu ni kudhalilisha dhamira ya Raisi Pamoja na kufifisha jitihada zake hivyo busara itumike na wasaidizi wake mtoe majibu kwa rungwe ya kuridhisha watanzania Otherwise tutaconclude kuwa Rungwe ni mkweli.