Hashim Mdhihiri Abdallah anatumika kutembeza rushwa kama njugu uchaguzi wa TFF hapa Dodoma

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
TAKUKURU mko wapi?, Nikiwa kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimepiga kambi hapa Dodoma kufuatilia kwa karibu uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) tangu zilipoanza Kampeni 7/08/2017. Kuna Askari POLISI mmoja anaitwa HASHIM MDHIHIRI ABDLLAH anatumiwa na wagombea RICHARD SHIJA na MULAMU NGHAMBI kugawa rushwa kama njugu tena waziwazi bila aibu. Richard Shija anagombea nafasi ya rais wa TFF wakati MULAMU NGHAMBI anagombea nafasi ya Makamu wa Rais wa TFF. HASHIM MDHIHIRI ni LIASON OFFICER wa TFF.
Nikirudi Dar es Salaam nitaandika Makala kuhusu uchguzi huu.
 
Sijaelewa unaposema huyo Askari POLISI mmoja anaitwa HASHIM MDHIHIRI ABDLLAH halafu tena unasema " HASHIM MDHIHIRI ni LIASON OFFICER wa TFF.
 
Sijaelewa unaposema huyo Askari POLISI mmoja anaitwa HASHIM MDHIHIRI ABDLLAH halafu tena unasema " HASHIM MDHIHIRI ni LIASON OFFICER wa TFF.
Yap ni askari polisi lakini TFF wanamtumia kama LIASON OFFICER, hujaelewa nini?
 
Yap ni askari polisi lakini TFF wanamtumia kama LIASON OFFICER, hujaelewa nini?
Mie darasa langu la nne D sijui kingereza, ila nimehisi tu kuwa Liason ni mtu anayetumika kama kiunganishi, kuleta mahusiano, kuleta mashirikiano. enewei ngoja kwanza nirudi class nipigwe msasa halafu nitajua vema huyo askari na TFF
 
752621461225a957f89398eb49c84f5f.jpg
 
Back
Top Bottom