kishaija
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,049
- 1,205
Mkuu mimi Ni jembe afrika
Teh teh teh....
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi Ni jembe afrika
ILO tatizo ndo KM linalomsumbua wife wangu Mimi,,,tunataka mtoto wa pili,mirija imeziba sababu ya sindano za uzazi,,tulienda kupima kwa KAIRUKI HOSPITAL kwa garama km ya laki mbili ndo tukaambiwa hayo ya kuziba mirija,,,,kwa DOKTA MWAKA JUZI TUSHATOA LAKI TATU KAPEWA DAWA anatumia kujaribu pia,,,,KIUKWELI IZI NJIA ZA KUZUIA MIMBA WANAZOTUMIA KINA MAMA,,HAZIFAI KABISA KABISA
Ndugu zako wanafaidika nini kwa wewe kuwa na mtoto?
Miafrika sijui tuna matatizo gani?
wew timua tu mkuu..ucckilize manemo ya humu
Ukiangalia yatima wanavyoteseka mtaani utadhani hao wazazi wao hawakuwa na Ndugu , napata kichefuchefu sana kusikia eti Ndugu wanafuatilia ndoa ya mtu mwingine kisa hawajabahatisha mtoto.Tatizo la ndoa zetu hizo
Mke anaolewa na ndugu jamaa na marafiki
Kutwa kuulizia kama tayari au bado
Utafikiri watawasaidia kulea
Hapana mkuu sindano au vidonge vya uzazi wa mpango haviwezi kusababisha mirija ya mayai ya mwanamke (fallopian tubes) kuziba.ILO tatizo ndo KM linalomsumbua wife wangu Mimi,,,tunataka mtoto wa pili,mirija imeziba sababu ya sindano za uzazi,,tulienda kupima kwa KAIRUKI HOSPITAL kwa garama km ya laki mbili ndo tukaambiwa hayo ya kuziba mirija,,,,kwa DOKTA MWAKA JUZI TUSHATOA LAKI TATU KAPEWA DAWA anatumia kujaribu pia,,,,KIUKWELI IZI NJIA ZA KUZUIA MIMBA WANAZOTUMIA KINA MAMA,,HAZIFAI KABISA KABISA
Inaelekea wewe ni mtu mwenye roho mbaya kama sura yako. Je ungependa itokee hivyo kwa dadaako au mwanao?
Mlete nikupigie halafu mtoto awe wako.
Ulimoa kwakua ulimpenda au ili mzae watoto?