Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu.
Ni mafanikio makubwa naweza kuyaita kwa upande wa burudani na michezo kwa hatua aliyofikia Hasheem!
Ni masikitiko yangu kwamba simuoni kwenye maHeadline ya michezo na burudani kwa ujumla!
Yu wapi huyu supastaa na afanya nini sasa aliko!?
Kwa wenye data zake wakuu, mimi nashabikia sana wabongo watuwakilishao vyema Internatianale!!
Huyu jamaa atakua alijiloga mwenyewe ,yaani jitu refu vile kutembea na Vanesa ? Ule ulikua ukiukwaji wa haki za binadamu kabisa , Natania tu ,sijui ni nini kimempata ndugu yetu Hashim

Acheni kumsema vibaya jirani yangu. nendeni kwenye website ya NBA utajua wapi yuko. othrws mnapiga domo la bure tu but kufikia mafanikio yake lbd budget ya Tz 3yrs
Alienda D League ila sasa nadhani na huko wamemtosa so nadhani career ya kikapu ndo imeisha, katika miaka yake michache alichukua billioni kadhaa kama mshahara lets hope ameziinvest vizuri au at least amezitunza benki.