Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
MkuuThabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Kumlinganisha Thabeet na Lin....ni obvious unamuonea Thabeet!
Kwahiyo Rockets umemwona Hasheem tu mbona wapo bench warmers kibao? Na kwanini umringanishe na Lin wakati wana background tofauti!? Kifupi mpaka alipofika jamaa anahitaji pongezi maana kaanza kucheza ukubwani na bado anajitahidi kwasababu anapata vidakika vichache vya kucheza NBA.
Dope B. nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani, kwani tafsiri yako inabase kwa ulivyokuwa unamjuwa pale JITEGEMEE, lakini walimu wake kule Connecticut (HUSKIES) wnamtazamo tofauti na wako. Hebu soma hii kauli ya bwana Jim Calhoun, kocha wake pale Connecticut,Thabeet kikapu kajulia ukubwani mimi nlikua nacheza kikapu pale jitegemee sec. Ye alikua anatembea na ndala mitaa ya sinza na alikua anakuja pale SPIDER( gymkhana groundz) na ndala akawa anafukuzwa kila siku amekuja kuelewa kidogo kikapu alipoenda makongo sec. Tena hapo yuko form 2! Ndo mana kikapu hakipo kwenye damu mana amejulia ukubwani wakati wenzie tokea wadogo wanacheza
Kila mtu na kiwango chake, alipofika Thabeet hajawahi kufika Mtanzania yeyote, kaweka rekodi, na mkwanja anaolipwa hakuna mtanzania yeyote kwenye michezo anakula kitita namna hicho hata yule aliyepigwa picha za uchi kule Play Boy, hampati mkwanja wa Thabeet.
Mwacheni, mlimfikisha nyinyi huko? au mnaijuwa Basket Ball zaidi yake? kuna watu wanaingia NBA mpaka wanaondoka kazi yao kukaa benchi tu. Si bora yeye anakipiga japo kwa muda mfupi kila mechi. Huyo ana kazi yake aliyopangiwa na anaifanya vyema, kama haifanyi usingemuona hapo, kuna watu wanapataka hapo kufa na kupona.
Mpiga Nyoka hao wengine ndani Rockets hawanihusu na sina habari nao, lakini Thabeet ni Mtanzania mwnzetu ndio maana najaribu kutafuta majibu. Kumbuka kwamba, alikuwa kama muwakilishi wetu kwenye NBA, na ilikuwa FARAJA kubwa sana kwetu kumuona akicheza na kusikia Tanzania ikitajwa kila mara. Ni vibaya kama umeridhika na vidakika vichache anavyovipata, lakini sidhani kama hiyo inafafanua kwa nini kijana wa miaka 25, na mwenye urefu wa 7 foot 3 ( very rare height in NBA) anapata hivyo vidakika vichache? Na unamaanisha nini unaposema wana Bacground tofauti? Je unamaanisha kwamba sisi Watanzania hatuna uwezo wa kucheza kwenye ligi ya NBA?