Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

Inaweza mchukua mda gani kuwa sawa na kurudi kucheza ktk NBA tokea uko D-leage??

Mungu amsaidie
 
Huyu Jamaa ni Boya sana Marekani Wanamuona kama Obote wa Vijana Zamani Cargo Kubwa Jing Hata Dunk anamwaga yaani anashindwa Kutumbukiza
 
Kaka jamaa yupo D-League sasa huko Michigan...

OKC walimtrade Sixers, nao wakamu-waive kwenda Pistons kabla ya kutemwa...

Then timu ya D-League (Grand Rapids Drive) iliyo affiliated na Pistons ikamchukua baada ya kukataa offers kadhaa za kwenda Euroleague...

So far anafanya vizuri na anafika hadi double figures si kama alivyokuwa NBA...
 
Anaweza kukaa uzuri akijituma na kutopata majeraha kila la kheri hasheem ulipofika sio padogo
 
Congrats to Hashim. He is making Tanzania proud. He is showing them that even as Tanzanians can do it. As long as he stays humble I'm sure he will be a big success and he will go a long way(no pun intended).
You can see i'm ghetto and fabolous......
 
Kaka jamaa yupo D-League sasa huko Michigan...

OKC walimtrade Sixers, nao wakamu-waive kwenda Pistons kabla ya kutemwa...

Then timu ya D-League (Grand Rapids Drive) iliyo affiliated na Pistons ikamchukua baada ya kukataa offers kadhaa za kwenda Euroleague...

So far anafanya vizuri na anafika hadi double figures si kama alivyokuwa NBA...
Tupe mrejesho Mkuu.
 
Hii lugha ya malkia aisee ni shida..nimejikuta npo page ya 15 Bila hata kusoma thread. But na mm nichangie kdogo hii mada as following:-

Ni kwer ZAHERA kafukuzwa lakin naona sio sahihi kabsa kwasababu alikuwa kama MO wetu hapa jangwani. Sasa sjui huyo kocha mpya hashim thabeete Kam ataweza kutupatia pesa kama mutu ya Kongo papaa wa Kusinya...

ujio wa hashim thabeete hapa YANGA sjui kama utaleta manufaa kwasababu CV yake inaonesha hana mafanikio sana hasa kwenye hyo timu yake sjui NBA kama mleta maada alivyosema Hapo JUU
OLU IN OLU WELICUMU HASHIM THABEETE INI DARESALAMU YANGI AFRIKANI SIPOTI KILABU

naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!
 
wenyewe watakwambia as follows siyo as following,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom