Hasheem Thabeet naona Oklahoma namba yake imeshachukuliwa na yoso

Hili swala nalipa nafasi ndogo sana kwa sababu wakati yuko chuo alikuwa mchezaji mzuri sana sana mpaka kufikia kuwa drafted namba 2, na alifanya vizuri kwa urefu wake huu huu.

Hujaangalia ukweli kwamba alipokuwa chuo alikuwa anacheza katika mazingira tofauti. Huwezi kulinganisha college na NBA.

Hujaangalia kwamba inawezekana akawa na matatizo ya kiafya yanayoendana au yaliyosababisha urefu huo (kuna watu wana matezi yanayowafanya wawe warefu isivyo kawaida) ambayo yanaongezeka kadiri muda unavyoongezeka na kumpa complications zaidi with time.

Mambo ni mengi sana, tusiwe wepesi wa kusemea mambo ambayo hatuyajui vizuri.
 

Mimi siko vizuri hasa linapokuja swala la kujadiri nadharia, kwa sababu hashimu sio pekee mwenye urefu huo kucheza NBA, isipokuwa naona kama failure inakuwa supplemented na vitu ambavyo typically ni nje ya uwezo wa binadamu, na hii ni kama kutafuta excuse baada ya kufeli!

Otherwise ningesema kwamba jamaa hajitumi, au kwa sababu Basket kaicheza ukubwani skills sio za kutosha, ila urefu no. Bado naendelea kuamini akipata timu za level ndogo mfano Milwakee, Pelicans na Bobcats anaweza kupata namba reguraly na akawa vizuri.
 
Mimi siko vizuri hasa linapokuja swala la kujadiri nadharia,

Ukishaanza kumjadili Hasheem, maadam huna direct access naye, tayari ushajadili (siyo jadiri) nadharia.

kwa sababu hashimu sio pekee mwenye urefu huo kucheza NBA,

Hasheem ndiye mchezaji mrefu kuliko wote NBA kwa sasa, na hivyo, ndiye mchezaji pekee mwenye urefu wake.

Na hata kama isingekuwa hivyo, kuwa na urefu unnatural kwa sababu ya glands kwenda arijojo si lazima uwe mrefu kuliko wote.

You are missing my point.

Who currently is the tallest player in the NBA?

isipokuwa naona kama failure inakuwa supplemented na vitu ambavyo typically ni nje ya uwezo wa binadamu, na hii ni kama kutafuta excuse baada ya kufeli!

Umeanza kwa kusema wewe si mzuri katika kujadili nadharia, nikafikiri kwa kujua hilo hutataka kujikita katika nadharia, naona unarudi mulemule kwenye nadharia. Hicho ulichoandika hapo juu ni nadharia au si nadharia?

Otherwise ningesema kwamba jamaa hajitumi, au kwa sababu Basket kaicheza ukubwani skills sio za kutosha, ila urefu no.

You are totally missing my point, my angle is not urefu tu, naongelea urefu unaoweza kutokana na mtation/ matatizo ya kiafya yanayoweza kuendana na mengine ambayo, kwa sababu habari za afya ya mtu ni faragha yake, tunaweza tusiyajue. Hasheem is not of average height, why are you thionking of him in average terms?

Bado naendelea kuamini akipata timu za level ndogo mfano Milwakee, Pelicans na Bobcats anaweza kupata namba reguraly na akawa vizuri.

Umeanza kwa kusema sio mzuri katika nadharia, halafu unajikita kutuambia unachoamini.

Unajichanganya.
 
U are wrong in a wrong way..lugha zuna tofauti ndio mana kuna mother tongue, first and last languages. Which means the most fluent language u spoke from your childhood is mostly expected to have it as ya first and foremost language

Sasa na wewe lugha yako ni ipi mbona hueleweki au mnapenda kuwasema wengine tu.
 

Mkuu chukua tano! Mimi sio nabii wala nini lakini nahisi wewe utakua na akili nyingi sana...big up! Ebu waeleweshe hao mapunga zeze!
 

Bravo....
 
Dogo ndie mchezaji mrefu kuliko wote NBA kwa sasa.
Dogo anaweza kucheza defense kumshinda hata Roy Hibbert.
Dogo ana so much potential. He's a diamond in the rough, and it's just a matter of time before he can unleash his enormous basketball IQ

wewe unamjua roy hibbert wa pacers aliyemdhibiti king james NBA final mwaka jana mpaka ikafika game 7????? stop being disrespectiful kwa kulinganisha hashim na huyu jamaa!!!! juzi nimeangalia game yao na lakers dogo alisugua benchi dakika za mwisho ndo akaingizwa akafunga point 2 tu na pamoja na urefu wake wote alipigwa block moja ya maana!!!!
 

Dogo anamfunika Roy Hibbert kwenye defense/blocks
 
!
!
ajabu wakienda india hawarudi wakiongea kiswahili cha kihindi au kihindi kabisa, sijui kwa nini




 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…