Hasheem Thabeet kuuzwa Philadelphia 76ers

Atajilaumu maisha yake yote kwa kuchezea shilingi chooni.
 
Aiseee! Mungu amsaidie kwa kweli
 
Hashim kashakwisha sasa iliyobaki ni kurudi bongo na kufungua investiment kubwa tu kama hotel na pia kujenga apartments prime area kama mikocheni,oysterbay,masaki ili ziwe zinamuingizia @ lst 10,000 usd kwa mwezi na hotel @ lst 35,000 uds kwa mwezi huo ndio ushauri kwa mshahara anaupata kipindi hiki cha lala salama hizo 4billions anunue kiwanja masaki kwa 800m ajenge ghorofa 3 kwa 500m,anunue kiwanja mikocheni kwa 150m ajenge ghorofa 3 kwa 500m iliyobaki ananunue eneo kama heka 20 ajenge isolated hotel pande za bagamoyo au kigamboni ambazo hizo investments zitakuwa zinamuingizia more than 70millions per month.
 
Hahaha mkuu umenifurahisha sana.. Mbona nasikia lulu bado mpya kabisa??

Hahaaaaa....mkuu kweli inaweza kuwa mpya kwa kuwa na wewe mpya kuingiza mkurunge baada ya hapo inarudi kwenye ubora wake na sifa yake kama zamani aiseeeee
 
Thabeet kwisha kazi yake. Kwa hili, his NBA career is definitely over. OKC and 76ers wamefanya deal kati yao kwa faida zao tu. Aende Europe au China kujaribu bahati yake kwenye leagues za huko.
 
Hashim kashakwisha sasa iliyobaki ni kurudi bongo na kufungua investiment kubwa tu kama hotel na pia kujenga apartments prime area kama mikocheni,oysterbay,masaki ili ziwe zinamuingizia @ lst 10,000 usd kwa mwezi na hotel @ lst 35,000 uds kwa mwezi huo ndio ushauri kwa mshahara anaupata kipindi hiki cha lala salama hizo 4billions anunue kiwanja masaki kwa 800m ajenge ghorofa 3 kwa 500m,anunue kiwanja mikocheni kwa 150m ajenge ghorofa 3 kwa 500m iliyobaki ananunue eneo kama heka 20 ajenge isolated hotel pande za bagamoyo au kigamboni ambazo hizo investments zitakuwa zinamuingizia more than 70millions per month.
ha ha ha, hakika Mungu hajambania asiyenacho ashindwe na hata kupanga bajeti ya madolari. nimeipenda bajeti yako.
 
Hashim kashakwisha sasa iliyobaki ni kurudi bongo na kufungua investiment kubwa tu kama hotel na pia kujenga apartments prime area kama mikocheni,oysterbay,masaki ili ziwe zinamuingizia @ lst 10,000 usd kwa mwezi na hotel @ lst 35,000 uds kwa mwezi huo ndio ushauri kwa mshahara anaupata kipindi hiki cha lala salama hizo 4billions anunue kiwanja masaki kwa 800m ajenge ghorofa 3 kwa 500m,anunue kiwanja mikocheni kwa 150m ajenge ghorofa 3 kwa 500m iliyobaki ananunue eneo kama heka 20 ajenge isolated hotel pande za bagamoyo au kigamboni ambazo hizo investments zitakuwa zinamuingizia more than 70millions per month.

umempa bonge la idea king kong.nadhani ana account jf na huwa anaingia kusoma posts mbalimbali za nduguze wabongo.wazo lako atalisoma/kalisoma.

ila mimi pia namshauri ajaribu na mieleka (american pro wrestling).kwa height yake na bidii ya mazoezi, anaweza akabahatika kusaini contract nono na kampuni maarufu la WWE, tukampata "the great khali" wetu mwenye asili ya EA.hajachelewa hata akina Shaquille O'Neal walijaribu mchezo wa mieleka na wakafanikiwa.
 
The Oklahoma City Thunder have traded Hasheem Thabeet to the Philadelphia 76ers:
Marc Stein ✔ @ESPNSteinLine
Follow
"ESPN has learned that Oklahoma City is trading Hasheem Thabeet to Philadelphia"....reports Marc Stein from ESPN..

...However, the Sixers won't be keeping Thabeet and his $1.25 million non-guaranteed contract around:
...moreover....Marc Stein from ESPN reports that "Thunder, I'm told, will send cash considerations to Sixers so Philly will absorb Thabeet's contract. OKC thus creates $1.25 million TPE"

By trading Thabeet into the Sixers' cap space, a $1.25 million trade exception will be created for Oklahoma City. The Thunder will send cash considerations to the Sixers along with Thabeet:

Prior to the deal, Oklahoma City was about $1.4 million below the luxury tax line. That number now stands at nearly $2.7 million and gives the Thunder a bit more breathing room.
The Sixers have until Sept. 1 to waive Thabeet before his deal becomes guaranteed, which is why he'll be waived immediately. Philadelphia is way under the salary floor and could have used Thabeet's contract to get closer to it, but that's not the plan. Instead, it appears the trade was simply for cash.
Thabeet's NBA career has been a huge disappointment. The No. 2 overall pick in 2009, Thabeet has career averages of 2.2 points and 2.7 rebounds in 224 games.

...The above info is from this link: http://www.sbnation.com/nba/2014/8/26/6071709/hasheem-thabeet-trade-76ers-thunder-nba

..Moreover: According to ESPN's Marc Stein, the Sixers have traded for Hasheem Thabeet and cash considerations from the Oklahoma City Thunder. I love it. Sure, Thabeet is one of the most underachieving players in NBA history but if anyone can squeeze out an iota of talent it might be....

Thabeet signed a two-year deal with an option for a third back in 2012, with an annual salary of $1.25 million. Spotrac says the deal becomes fully guaranteed for 2014-15 if not waived before September 1st, so Philadelphia will not be on the hook for any of this. The motivation for Oklahoma City in this deal is for the traded player exception, which is why they chose not to just cut him.
Essentially, the Sixers traded away nothing to receive cash considerations, as Thabeet won't take up any of their salary cap. Farewell, former Sixer Hasheem Thabeet. You'll have a place in our heart next to Anthony Bennett.(Sixers Trade For And Instantaneously Waive Hasheem Thabeet - Liberty Ballers)

My take:

..From reading the above news...me felt sorry for the lad and TZ in general....as this was the guy who was being used by TZ to lobby/promote basketball in TZ.....and now i sadly see his sharp decline....after such a short time!!

...Ebu tuone....mbona kuna jamaa wengi wa rika na enzi yake bado wako kwenye kiwango kikubwa kimchezo????....je haya ni matokeo ya bata za kibongo???
 
labda angejaribu kucheza Europe au China!
 
Hashim kashakwisha sasa iliyobaki ni kurudi bongo na kufungua investiment kubwa tu kama hotel na pia kujenga apartments prime area kama mikocheni,oysterbay,masaki ili ziwe zinamuingizia @ lst 10,000 usd kwa mwezi na hotel @ lst 35,000 uds kwa mwezi huo ndio ushauri kwa mshahara anaupata kipindi hiki cha lala salama hizo 4billions anunue kiwanja masaki kwa 800m ajenge ghorofa 3 kwa 500m,anunue kiwanja mikocheni kwa 150m ajenge ghorofa 3 kwa 500m iliyobaki ananunue eneo kama heka 20 ajenge isolated hotel pande za bagamoyo au kigamboni ambazo hizo investments zitakuwa zinamuingizia more than 70millions per month.

Kaka King Kong III hata bilioni moja hainunui uwanja Masaki.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa zali tu ilimuangukia Hana talent zaidi ya kubeba matairi na urefu tu, ashukuru Mungu anaendelea kuokoteza.
 
Hashim kashakwisha sasa iliyobaki ni kurudi bongo na kufungua investiment kubwa tu kama hotel na pia kujenga apartments prime area kama mikocheni,oysterbay,masaki ili ziwe zinamuingizia @ lst 10,000 usd kwa mwezi na hotel @ lst 35,000 uds kwa mwezi huo ndio ushauri kwa mshahara anaupata kipindi hiki cha lala salama hizo 4billions anunue kiwanja masaki kwa 800m ajenge ghorofa 3 kwa 500m,anunue kiwanja mikocheni kwa 150m ajenge ghorofa 3 kwa 500m iliyobaki ananunue eneo kama heka 20 ajenge isolated hotel pande za bagamoyo au kigamboni ambazo hizo investments zitakuwa zinamuingizia more than 70millions per month.

maskini una bajet na mipango hata serikali inasubiri
 
The kid is so hardworkingbut not lucky! Annajituma balaa sema nyota ndo hivo hanaaa! Kajitahidi from Makongo to NBA it was a long shot like a dream cme true!
 
Back
Top Bottom