Hasheem Thabeet kuuzwa Philadelphia 76ers

Hasheem Thabeet kuuzwa Philadelphia 76ers

Most of the posts i have read are negative about the lad.
Little do you know that he still stands a chance to prove OKC wrong if he takes up the challenge and work his way up to the top.
All in all the chap lost himself in the midst of the 'living large lifestyle'.
Its time for him to up his game and come from the bench. Only that I wonder if 76ers is the right team for him to pursue that end.
If he reads this I bet his sense will awaken from the sleep.
 
Well done Hasheem Thabit. Work
Harder and prove the doubters that they are dead wrong about you.
 
Mi namjua from Makongo, he couldnt catch a ball! Alafu ali suffer sanaa STIGMA makongo just because he was a little taller than the rest! Madem waliomkataa makongo wanajutaje?
Anyway he will DIE RICH ANYWAS IN BONGO STANDARDS! Jokate alimchuna chuna akamshindwa sababu sijui! But anakula bata refu huyu jamaa toka way back when makongo 2001 to 2004! Alikuwa anakula bata la hatari!

Maisha ya masupastaa huwa tunaya-over rate....kuna documentary niliangalia ya former NBA stars waliopigika ndio wanaeleza ukweli...figures zinazotajwa huwa hazina ukweli sana kwenye uhalisia...Kwa kifupi wengi huwa wanapigika sana wakistaafu mpaka wanakuwa homeless....wenye pesa ni wachache na hawakutegemea mishahara...

Hasheem ameonyesha tabia ambayo vijana wengi wa kitanzania tunayo....alifanya sana juhudi kipindi yuko college mpaka akawa second pick kwenye draft ya 2009 ila baada ya hapo jeuri ikaanza na watu hata hapa JF walimshauri sana ila akasema ni "HATERS". Kijana wa kitanzania akiwa shule anakuwa na juhudi kweli na ukimkuta anatafuta kazi jinsi anavyojituma mbona utafurahi sasa apate hiyo ajira...utatamani ardhi ipasuke....hatuna juhudi ya kujiendeleza na kufanya kazi kwa bidii na tunarizika mapema mno na kwa vitu vidogo...

Nini Hasheem bwana.....kulikuwa na Allen Iverson "The Answer" na alitengeneza pesa za ukweli hasheem hata 0.01% yake hajaifikia ila kapigika hata burger hawezi kununua....

Allen Iverson Is Apparently So Broke That He Can't Even Buy A Burger
 
ata ishiwa vyote lakini si utajiri wa dushelele
 
Hashim kashakwisha sasa iliyobaki ni kurudi bongo na kufungua investiment kubwa tu kama hotel na pia kujenga apartments prime area kama mikocheni,oysterbay,masaki ili ziwe zinamuingizia @ lst 10,000 usd kwa mwezi na hotel @ lst 35,000 uds kwa mwezi huo ndio ushauri kwa mshahara anaupata kipindi hiki cha lala salama hizo 4billions anunue kiwanja masaki kwa 800m ajenge ghorofa 3 kwa 500m,anunue kiwanja mikocheni kwa 150m ajenge ghorofa 3 kwa 500m iliyobaki ananunue eneo kama heka 20 ajenge isolated hotel pande za bagamoyo au kigamboni ambazo hizo investments zitakuwa zinamuingizia more than 70millions per month.

Nimepata wazo, asante sana kwa mchango wako
 
Sasa na hao watoto watatu aliozaa na wanawake wa Kimarekani si atafilisika kila kitu, Maana hyo child support si mchezo USA,
 

Attachments

  • 10650005_689706801119636_431892016785468667_n.jpg
    10650005_689706801119636_431892016785468667_n.jpg
    45.8 KB · Views: 114
...nilichogundua katika uzi huu...
Watanzania tuna roho mbaya isiyomithirika kwa wenzetu ambao wameonyesha njia kwenye mafanikio...
-Asilimia kubwa ni kama tulikuwa tunangojea anguko la Hashim kwa Hamu...kiasi kwamba najitahidi kukumbuka ni ubaya gani aliotufanyia sisi ndugu zake kiasi kwamba tusheherekee anguko lake kwa shangwe..hizi...
- Pia nimegundua umasikini wa waTZ unaanzia vichwani mwetu kwa asilimia kubwa sana...how come utokee tu kumchukia nduguyo aliyefanikiwa bila sababu yoyote ya msingi...kwanini isifike mahali tujivunie vya kwetu...?...Hashim ameshakuwa nembo ya taifa kimataifa ,kwa hiyo unapomtukana, ujue unalitukana taifa lako..
- Pia nimegundua ukiwa nje wa tz ni kuwaepuka kama ukoma kwa muda mwingi wanakuwazia mabaya tu...
 
Ushauri mzuri wa kumjenga ulitolewa sana tu especially alipokuwa akitumia likizo zake kuja bongo kufanya matanuzi badala ya kujifua mazoezi...badala yake wote waliosema walionekana kuwa na chuki binafsi.
 
Hasheem alipewa chance after chance. I am surprised he lasted in the NBA this long with such poor stats.
Anywayz sasa ataenda Uturuki, Urusi, Uhispania na kwinginepo. Pesa wanazolipwa huko Ulaya is not bad. In fact European basketball might suit him better.
 
Back
Top Bottom