We mzee Ganesh utamuweza? Anaweza kukupandishia CD za meditation na nuclear sites za New Mexico ukashangaa mwenyewe.
Mimi naona Watanzania hata tunapopata matumaini yanakuwa shortlived. Dikembe Mutombo kafanya kweli NBA, Kajenga bonge la Hospitali la mamilioni ya dola hapo Kinshasa. Sina maana kwamba Hashimu ni mali ya taifa kama wanavyosema wengine - naamini anahaki ya kuwa individual- lakini asipoangalia siyo tu atashindwa kufanya kama Dikembe, bali anaweza kuishia muflisi.
Kwenye michezo kuna kitu kama "Champs Syndrome" ambapo mwanamichezo anazungukwa na wapambe wanaomfanya aamini kwamba anaweza kufanya chochote (kama umeiona movie ya "Let's Do It Again" Sidney Poitier, Bill Cosby na JJ Walker utaona hii syndrome at work.
Hasheem si mara ya kwanza kujiingiza katika bar brawls, alishawahi kuingia katika fracas katika ma club NJ, na hiki ki attitude cha "mnanijua mimi ni nani"
I am sorry, but if you have to ask that question, they either don't know you or don't care.
You can take a kid out of the ghetto, but you can't take the ghetto out of the kid.
Kama hajapata handlers, counselling na pengine hata therapy anaweza kuwa a has been quicker than you can say Manute Bol.
Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques WaMutombo ni tabibu toka lini? Nijuavyo mimi alijiunga Georgetown kama sikosei kama pre-med student....sidhani kama alienda shule ya uganga....
Nakumbuka zile meditation zake zilikuwa ndefu kweli kweli halafu sikuwa naelewa kitu.
By the way hilo jina Ganesh ni la miungu wa kihindi.
Kuhusu Dikembe, na sikia jamaa ni Doctor by profession.
Udokta huo wa Humane Letters sio udokta by profession
You can take a kid out of the ghetto, but you can't take the ghetto out of the kid.
Nimemwona Hasheem Thabit sasa hivi. Alikuwa maeneo ya Mikocheni na wapambe wake wanaweka bango la matangazo.
Nikamwambia,''Wewe ndiye Hasheem,basketball star.'' Akasema,''Siyo mimi.''
Nikamwambia,''Hapana. Ni wewe. Mimi ni Andrew Nyerere. I am pleased to meet you.''
Basi,nikamsalimu,nikaondoka.
Nimetazama sasa hivi katika internet,to check,na nimeona kwamba yule ni kweli Hasheem .
Mimi nina bahati ya kukutana na stars. Nilipokuwa America,nilikuwa natembea mitaani,at a very isolated place,nikamwona Fifty Cent,he was walking about with a walkman[anasikiliza muziki]. Nilimwona huyu mtu walking towards me,and I was about to tell him,''You know,you look just like Fifty Cents'' Lakini there was something about the personality of the man that stopped me from saying that. Halafu huyu mtu akanisalimia,akaondoka.
Nikaenda mbele,kijiweni,nikawakuta Afro-Americans wamekaa. Nikawauliza,''Excuse me,can you tell me if Fifty Cents lives anywhere near here?'
Mmoja wao akanijibu,huyu his mind was very badly scarred by drugs. Hawa watu mara nyingi nilikuwa napita pale nawaona wanavuta bangi.
Yule mtu akanijibu,''Hello,ny friend. You are looking for Fifty Cents? That's good. WE ARE ALL FIFTY CENTS.''
Baada ya kusikia hivyo nikaondoka.
Lakini yule mtu niliyemmwona probably alikuwa Fifity Cents. Kwa sababu,a few days before that niliiona movie,starring Curtis Mayfield[ambaye ndiye Fifty Cents],movie kuhusu maisha yake,true life story.
Hasheem Thabeet analipwa $10 million a year na timu yake huko Marekani. Hizi ni pesa nyingi sana kwa kijana yoyote na haswa kwake yeye kwa vile alikuwa na maisha magumu kabla ya kufanikiwa kwenda NBA. Ni dhahiri kuwa asipokuwa makini, utajiri huu mkubwa na wa ghafla alioupata utamchanganya.
Ni kweli jamani maana inayvoonekana TID ndo alianzisha halafu anataka sifa kupiti amgongo wa mwenzie nimeona comment za yahoo wamemuita na Nukuhu "Terrible Infection Disease" mwisho wa kunukuhu
Halipwi $ milioni 10. Analipwa takriban milioni 4 ( 4,458,840).
Amandla.....
Mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga
kwa tabia hii hakuna haja ya gari yake kupewa namba maalumu 'TSS...' bora iwe T...AEK kama za sisi walalahoi tu. alitakiwa awe anamake difference.
Mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga