Sawa tumekuelewaSiku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti.
Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano lakini hayadumu na wengi wao huachana hata kabla ya kuonana.
Changamoto kubwa ya kuanzisha mahusiano mtandaoni ni kwamba asilimia kubwa kubwa ya wanaotongozana wanakua mikoa miwili tofauti tena ipo mbalimbali, mfano mwanaume upo Dar lakini unatongoza mwanamke na kukubaliwa lakini wakati anakukubali tayari unakua ushajua mwanamke yupo Mwanza wewe upo Dar es salaam.
Mwanaume ukishagundua kwamba huyu mwanamke niliemtongoza yupo mkoa wa mbali na nilipo mimi unaanza kutochukulia serious hayo mahusiano.
Kwa mwanamke ni faida mana atakua anakuomba hela wakati wewe mwanaume hupati penzi lake mwisho wa siku utachoka vizinga na kuamua kuyapotezea.
Kutokana na hali hiyo, kutongoza mwanamke au kumuomba namba yake ya simu physically inabaki kuwa the best way ya kupata mwenza kuliko kutongoza tongoza hovyo mtandaoni.
Mademu zangu wote niliowahi KUDUMU nao niliwatoa mtandaoniKutokana na hali hiyo, kutongoza mwanamke au kumuomba namba yake ya simu physically inabaki kuwa the best way ya kupata mwenza kuliko kutongoza tongoza hovyo mtandaoni.
Sawa chuma cha chumaLeo nilichojibiwa telegram View attachment 2892093
Mwanamke niliewahi kumpenda sana na tukadumu muda mrefu nilimpata mtandaoni, hii ni bahati.Mademu zangu wote niliowahi KUDUMU nao niliwatoa mtandaoni, na tukadumu MUDA mrefu tu kikubwa ni Upendo km hakupendi hakupendi tu hata ufanyaje Ila kuna mmoja yule sio Mwanamke ni kichaaka nilijuta aliniganda kishenzi mpaka nikaona huyu Dawa ni kumtafutia mwenzie alafu namwambia amchane makavu siku hio KAPIGA simu nikampa B (demu wangu mwingine) nikamwambia emu ongea na huyu mtimue huyu ananifuata fuata B akamwambia maneno ya kuchukiza kuanzia hapo hakuwahi kunifuatafuata, na huyo B nilimpata mtandaoni like wise so ni wewe tu na maujanja yako utakula vinono vilivyopo mtandaoni km huna maujanja utaishia kupigwa na vitu vizito tu
Na hio Bahati huwapata wachache saana wengi huangukia Pua na kuona mapenzi ya mtandaoni SIOMwanamke niliewahi kumpenda sana na tukadumu muda mrefu nilimpata mtandaoni, hii ni bahati.
Wachache sana, ukija kwa lengo la kutafuta mapenz hupati ila kwa njia ya urafiki kawaida wapo wengi sana inategemea na namna unavyoonekana kwenye michango yako mitandaoni.Na hio Bahati huwapata wachache saana wengi huangukia Pua na kuona mapenzi ya mtandaoni SIO
Naam ndio hivyo mkuu, upo sahihi kabisaWachache sana, ukija kwa lengo la kutafuta mapenz hupati ila kwa njia ya urafiki kawaida wapo wengi sana inategemea na namna unavyoonekana kwenye michango yako mitandaoni.
Jirani chai tamu πMwanamke niliewahi kumpenda sana na tukadumu muda mrefu nilimpata mtandaoni, hii ni bahati.
Kwaresima inakaribia, uongo utakusaidia nini?? πππWachache sana, ukija kwa lengo la kutafuta mapenz hupati ila kwa njia ya urafiki kawaida wapo wengi sana inategemea na namna unavyoonekana kwenye michango yako mitandaoni.
ππ jirani haya ni ya kweli sina sababu ya kuongopa.Kwaresima inakaribia, uongo utakusaidia nini?? πππ
Kataa ila ndio ukweli jirani.Jirani chai tamu π