julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Ndio maana mm nikimwona mwanamke ametelekezwa wala simuonei huruma...... Na dawa yao ni kuwaharibia future yao tu..
Kama mwanaume hatonipenda kwa 100% ni bora asinipende kabisa
Ndio maana mm nikimwona mwanamke ametelekezwa wala simuonei huruma...... Na dawa yao ni kuwaharibia future yao tu..
Dah kuna wanaume wanajua kupenda jamani, hata ukitaka kusaliti roho inasita yaani wanajitoa muhanga asilimia zote...!
mh labda si kwa wanawake wote mi kuna mwanamke mmoja nilimpenda kwa moyo wangu wote lakini we ndio wa kwanza kusaliti na kunita ----- kwasababu tu alikuwa ananifanyia vitu vya kijinga then mi nasamehe akawa anawasimulia rafiki zake jinsi anavvyonifanyia na kuwa ambia upendo gani hili ni ----- tu basi full kuchoreka kwa rafiki zake nyie wasichana nyie mi nilisha nawa mikono kwenu
Ndio maana mm nikimwona mwanamke ametelekezwa wala simuonei huruma...... Na dawa yao ni kuwaharibia future yao tu..
^^
Yalinikuta nadhani nikianza kusimulia ntajaza server za JF..nilijifunza mwanamke ni wa kutazama tu ukitosheka unaendelea na maisha.
Thank God am free and happy without them
^^
Shosti, wanaume wa aina hiyo ni 2% ya wanaume wote na ni vigumu sana kuwatambua, hivyo wengi wetu tunaishia kuangukia kwa wanaume ambao ni "onja-onja" na "chovya-chovya" tu ambao ni mafundi sana wa ku-act kupenda kumbe si lolote.Dah kuna wanaume wanajua kupenda jamani, hata ukitaka kusaliti roho inasita yaani wanajitoa muhanga asilimia zote...!
Aaaaah!,yako cha mtoto...yangu balaa...nachukia kila mwanamke hata akijenga hoja popote naona kama balaa.ni. wanafik sn.tupa kule jina mke...shetan..
Dah kuna wanaume wanajua kupenda jamani, hata ukitaka kusaliti roho inasita yaani wanajitoa muhanga asilimia zote...!
Pole mkuu, we always learn kutokana na makosa