Hasara za kuacha pombe hizi hapa…

Hasara za kuacha pombe hizi hapa…

Mzee yuko on bed hoi chanzo pombe na sigara. Hatujui kama atasurvive kaja kapona akatuambia siwakatazi kunywa wala kuvuta ila najua mliniona akili kichwani kwako.
 
Mi natumia sana rosela wine inatengenezwa na bibi yangu!sijaona bado wine tam ya rosela(choya).siku nikibadili ni mbege.
Vilevi vingine BIG NO
 
mbona alcohol kidogo sana!Nagonga hapa kitu kinaitwa "Uganda warka" ina 45%
Na hapa Arusha ipo hii "Bhunu Mbundi" ikimaanisha yaani hii ni Pombe nyingine haifikii hapo. Kwa jinsi ilivyo kali, chupa moja tu yatosha kukufanya uongee "kiswanglish" bila woga.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Bia Tamu sana
 
Back
Top Bottom