Hasara ya kuzaa nje ya ndoa

Hasara ya kuzaa nje ya ndoa

Double K

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
907
Reaction score
343
Kuna kijana alikua anataka kuoa akamwabia baba yake kaniposee msichana fulani baba yake akamwambia tafuta kwingine yule ni dada yako ila mamako hajui ucmwambie, Kijana akatafuta mwingine baba akamwambia na huyo ni dada yako ila mama yako hajui watatu tena hivyo hivyo kijana akamind akamwambia mama yake, mama yake akamwambia kaoe yoyote kati yao yeye huyo si baba yako ila ye hajui.....duh nani zaidi??
 
Dah, hapo mjinga mshua coz hata hao wa nje nao hana uhakika possible analea tu! Hii imetulia!
 
Siri ya huyu mtoto wa nani wanaijua kimama tu, hapo mam zaid
 
Dah! Hapo sasa na dogo atasambaza bakora balaa
 
daaah.... Wat goz around.. Comez around asee... Daaah so dingi ukute hata hao wa nje sio wa kwake pia....!!!
 
Back
Top Bottom