Nimoja ya mbinu kubwa inayotumika karibu duniani koteKutumia udhaifu wa mwenzio ili wewe uonekane wa maana ni uchawi na unafiki tu
Oooh sawa sawaNimoja ya mbinu kubwa inayotumika karibu duniani kote
How can u win a battle without knowing weakness of your opp?Oooh sawa sawa
Hiyo ndio mbinu ya vita.Kutumia udhaifu wa mwenzio ili wewe uonekane wa maana ni uchawi na unafiki tu
Hiyo ndio mbinu ya vita.
How can u win a battle without knowing weakness of your opp?
Nahisi kamchukulia kama case study sidhani kama wanashindanaKwani wanashindania nini mtoa mada na huyo mtajwa(mpenda ngono)?
Hajafanya poa kumuhukumu hivi moja kwa moja labda km ni wataniNahisi kamchukulia kama case study sidhani kama wanashindana
Labda mi nitakua nimeelewa vibaya nahisi kama anfurahisha kiutani utani kama yuko seriously atakuwa sio tu kukosea bali kashindwa kabisaHajafanya poa kumuhukumu hivi moja kwa moja labda km ni watani
Ramli chonganishiKutumia udhaifu wa mwenzio ili wewe uonekane wa maana ni uchawi na unafiki tu
Hahaaaa wataka kusema upo upande wa trump!!!Kutumia udhaifu wa mwenzio ili wewe uonekane wa maana ni uchawi na unafiki tu
Nakataa usemacho mkuu.Mtoa mada unachotakiwa kujua ni kwamba humu wengi wanafake vitu yaani unakuta hata kinachoandikwa na huyo mtu sio uhalisia wake ......sasa ukianza kuwatoa watu akili humu wakati hujawahi onana nao na kukaa nao japo wiki utakua hutendi haki