Hasara kila kona, Tunaelekea wapi

Hasara kila kona, Tunaelekea wapi

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,286
Reaction score
1,420
Mdhibiti mkuu wa mapato na matumizi wa serikali yetu ya Tanzania ameyataja mashirika yetu makubwa ya serikali jina yanavyojiendesha kwa harasa , kuanzia ATCL mpaka Tanesco. .

Kwa kufanya kwa biashara kwa hasara ina maana kipato kwa serikali kinapungua au kinakosekana kabisa hivyo kuathiri deni la Taifa. Hakuna hata mwana CCM mmoja atakae toka hadharani kuzunguzungumzia hasara hii, kwani kila mmoja anataka kusifia tu ili kulinda nafasi zao serikalini.

Serikali haitaweka hadharani mpango wa kuokoa haya mashirika mwaka ujao utasikia hasara tena
 
Tunajiendea ndugu yangu, inawezekana hata hatujui tunafanya Nini.
 
Mama yenu alishasema hizi hasara ni za miaka ya nyuma kabla ya uongozi wake.

Mitano tena kwa mama yenu kwa kuimarisha uchumi wa nchi
 
CDM wanasema aongezewe mitatu kwanza turekebishe sheria kandamizi za uchaguzi na kupata katiba mpya
 
Mdhibiti mkuu wa mapato na matumizi wa serikali yetu ya Tanzania ameyataja mashirika yetu makubwa ya serikali jina yanavyojiendesha kwa harasa , kuanzia ATCL mpaka Tanesco. .

Kwa kufanya kwa biashara kwa hasara ina maana kipato kwa serikali kinapungua au kinakosekana kabisa hivyo kuathiri deni la Taifa. Hakuna hata mwana CCM mmoja atakae toka hadharani kuzunguzungumzia hasara hii, kwani kila mmoja anataka kusifia tu ili kulinda nafasi zao serikalini.

Serikali haitaweka hadharani mpango wa kuokoa haya mashirika mwaka ujao utasikia hasara tena
Serikali hainaga hasara
 
Back
Top Bottom