Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana!!Huyu jamaa ndio maana anachange gia angani kwa sasa anasema anataka kuchukua mafuta ya Iran sasa tujiulize pale yale mafuta ni ya Mrusi na Mchina je watamruhusu achukue kama walivyomuacha kule venezuela akajizolea sifa za kijinga .
View attachment 3567559