It’s about how much money you have in a pocketMimi "A" student niliosoma nao sasa hivi ni madaktari, mainjinia, malekchara, wahasibu huko TRA, CRDB, Mameneja kwenye taasisi mbalimbali n.k. Waliokua wanafeli wengi saiz ni madereva daladala, bodaboda, wapanda mlima, na wengine ni choka mbaya hawana mbele wala nyuma wapo kijijini.
Wengine wako vizuri mkuuMimi "A" student niliosoma nao sasa hivi ni madaktari, mainjinia, malekchara, wahasibu huko TRA, CRDB, Mameneja kwenye taasisi mbalimbali n.k. Waliokua wanafeli wengi saiz ni madereva daladala, bodaboda, wapanda mlima, na wengine ni choka mbaya hawana mbele wala nyuma wapo kijijini.
Naona siku hizi wabongo wengi tuna mwamko, watu wanataka pesa sio mbwembwe za vyeti vingi halafu Una kituIt’s about how much money you have in a pocket
"A" student bongo wapo wengi na hawana impact kwa nchi zaidi ya kupiga dili ,wengine kina prof k..Abu..di sory prof kabuli wanaona kama wamechelewa kula matunda ya nchiMimi "A" student niliosoma nao sasa hivi ni madaktari, mainjinia, malekchara, wahasibu huko TRA, CRDB, Mameneja kwenye taasisi mbalimbali n.k. Waliokua wanafeli wengi saiz ni madereva daladala, bodaboda, wapanda mlima, na wengine ni choka mbaya hawana mbele wala nyuma wapo kijijini.
Sasa mkuu ukisema hawana impact kwa nchi unakua unakosea. Kila mtu ana impact kwa nafasi yake. Mfano hao niliotaja madaktari, mainjinia, mameneja, wanasheria utasemaje hawana impact wakati wanazalisha na wanatoa huduma kila siku"A" student bongo wapo wengi na hawana impact kwa nchi zaidi ya kupiga dili ,wengine kina prof k..Abu..di sory prof kabuli wanaona kama wamechelewa kula matunda ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu. Na wengine wengi wapo kila sektaAkina profesa Lipumba ndo A students?
Wengine wako vizuri mkuu
mkuu hayo ndo mawazo ya wazee wa fa fa fa fa ili kujifariji,huwa tunaenda nao hivihiviNi kweli wapo ambao hawajasoma na wapo vizuri. Ila ni wachache saana kulinganishwa na waliosoma. Japo watu wengi waliosoma sio mamilionea, lakini wana maisha mazuri ya wastani ukilinganisha na wasiosoma wengi.
Tusifike mahali tukafikiri kusoma ni kupoteza muda kwa kuangalia takwimu za watu wawili watatu ambao wamefanikiwa bila kusoma. Elimu bado ni muhimu sana kutupatia wataalamu kama madaktari, mainjinia, wanasheria, walimu n.k.
mkuu hayo ndo mawazo ya wazee wa fa fa fa fa ili kujifariji,huwa tunaenda nao hivihivi