Nipo kwa sendoff sasahivi,Wakati wa bi harusi mtarajiwa kutambulisha ndugu akaanza kumfagilia mumewe kuwa ndio chaguo pekee. Nanukuu "nime-date na wanaume tofautitofati lakini hapa nimefika". Watu wakaanza minong'ono oooh amejionyesha kuwa utulivu 0 nkso it ate on them. (kwahiyo ilikula kwao,)