Hongera mkuu ikawe kheri kwao, ila ombi Moja kwangu naomba niombee namimi nipate mke mwema hawa nao waona ni matapeli nataka nipate kademu kakirangi hivi au member wa humu hata akiwa mshangazi poa tu ila asizidi miaka 45, allah sw awafanyie wepesi inshallah