Harusi za siku hizi vipi?

Harusi za siku hizi vipi?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Yaani kuna haka kamtindo ka kwenye send of na wedding wenye sherehe kurefusha muda pasipo sababu..zamani muda wa zawadi ulikuwa ni mmoja wa kuwatunza maharusi tu...siku hizi hii stlye ya kila mtu atunzwe,mara,dada mkubwa,mara wa kati,mara shangazi,mara bibi inatoka wapi?si mkatunzane nyumbani?
 
kwani si sherehe kila mtu anajua aiendeshe vipi, kwahiyo unataka unachifikiria wewe ndio na wengine wafuate etiiiii..... mara jana unasema tusisome vyuo visivyo na majina kwa hiyo kama wewe umesoma havard unataka disie pia tusoma hukohuko.
 
Ni wastage of time.

Mwengine anakuja amebeba kitenge kimoja mwengine amebeba mwiko nae atajwe dah!
 
Yaani kuna haka kamtindo ka kwenye send of na wedding wenye sherehe kurefusha muda pasipo sababu..zamani muda wa zawadi ulikuwa ni mmoja wa kuwatunza maharusi tu...siku hizi hii stlye ya kila mtu atunzwe,mara,dada mkubwa,mara wa kati,mara shangazi,mara bibi inatoka wapi?si mkatunzane nyumbani?
unachohofia ni muda au idadi ya zawadi?
 
kwani si sherehe kila mtu anajua aiendeshe vipi, kwahiyo unataka unachifikiria wewe ndio na wengine wafuate etiiiii..... mara jana unasema tusisome vyuo visivyo na majina kwa hiyo kama wewe umesoma havard unataka disie pia tusoma hukohuko.

mbona unapanick?hujanywa chai?kama ni msomi usingekuwa na hofu kwenye umuhimu wa selections za vyuo...na kwenye sherehe that is my opinion kila mtu ana yake to me ni wastage of time..si kila jambo kuiga iga
 
Kweli kabisa, wana refusha mambo bila sababu, halafu basi afadhali ingekuwa kwamba kuna mazawadi mengi yatakayotolewa. Utashanga list ndefu ya ma group ya kutoa zawadi, halafu linakuja group watu wazima kibao na kijitenge kimoja kimeshikiliwa na wote :yell:

Yaani kuna haka kamtindo ka kwenye send of na wedding wenye sherehe kurefusha muda pasipo sababu..zamani muda wa zawadi ulikuwa ni mmoja wa kuwatunza maharusi tu...siku hizi hii stlye ya kila mtu atunzwe,mara,dada mkubwa,mara wa kati,mara shangazi,mara bibi inatoka wapi?si mkatunzane nyumbani?
 
Kama umeamua kufanya sherehe haina budi kukubaliana na mambo yote. Sioni shida yoyote katika hilo kwani wamekuja hapo kukupongeza wewe.

Na kama ulikuwa hutaki zawadi zao si bora ungewaambia wasije na zawadi ili kuokoa muda.

BTW hebu niambie ni nini maana ya sherehe.
 
Fanya yako ndo mkatunzane nyumbani.... kama suala ni kutunzana nyumbani basi msisubiri sherehe... nyie tunzaneni hivyo hivyo..
 
wasiwasi wako ni muda? kipindi hiko ushakula na kunywa inuke wende zako maana tunajua wengi wenu hambebi zawadi, mkipeba ni kadi tu! labda inakukera kwa kuwa unasubiri lift yakuondoka nayo na mwenye gari anakwambia anakaa hadi mwisho....!
 
Kumbe wewe kwako muda si muhimu...uko hatarini kabisa ndugu...
 
ukweli inaboa kwenye sherehe ya mwenzio we ndo uje utunzwe mara utasikia mashoga wa dada yake na mtarajiwa wanataka kuja kumtunza huyo dada mtu utaona msururu wa watu halafu mbaya zaidi wanakuja na kitenge doti moja hapo wamechagua na wimbo kabisa wa kuwaingiza hii ni kupoteza muda tu, ukiangalia shughuli yenyewe imeanza saa tatu kwa uzembe wa wakwe kutozingatia muda mana huwa najiuliza shughuli haiwezi kuanza bila wakwe kuwepo?????
 
Kama umeamua kufanya sherehe haina budi kukubaliana na mambo yote. Sioni shida yoyote katika hilo kwani wamekuja hapo kukupongeza wewe.

Na kama ulikuwa hutaki zawadi zao si bora ungewaambia wasije na zawadi ili kuokoa muda.

BTW hebu niambie ni nini maana ya sherehe.
hata mimi nilitaka kuwauliza kama wewe...sherehe ni full kusherekea ...hadi kuku wa familia anatuzwa
 
Unajua ni nini Smile? Watu wanataka kujifanya wanazingatia muda wakati hakuna lolote.
 
Ni vizur ukaacha kuchangia au changia hlf usiende. Usitake kufanya sherehe kama mtihani. Muda ni mali hata kama ni usiku.
 
Kama umeamua kufanya sherehe haina budi kukubaliana na mambo yote. Sioni shida yoyote katika hilo kwani wamekuja hapo kukupongeza wewe.

Na kama ulikuwa hutaki zawadi zao si bora ungewaambia wasije na zawadi ili kuokoa muda.

BTW hebu niambie ni nini maana ya sherehe.

kama alitaka kuokoa mda asingekuwa anawasumbua wenzake kila jumamos kukutana msimbazi center/chopeko bar
kwa ajili ya vikao vya harusi yake na simu za kila mara kuwakumbushia michango.......
 
Ni vizur ukaacha kuchangia au changia hlf usiende. Usitake kufanya sherehe kama mtihani. Muda ni mali hata kama ni usiku.

ila muda ambao watu waliacha shughuli zao kuja kwenye vikao ule sio mali?
kama anataka kuokoa muda ndoa za mkeka zipo very simple & it saves time.
 
wasiwasi wako ni muda? kipindi hiko ushakula na kunywa inuke wende zako maana tunajua wengi wenu hambebi zawadi, mkipeba ni kadi tu! labda inakukera kwa kuwa unasubiri lift yakuondoka nayo na mwenye gari anakwambia anakaa hadi mwisho....!

hahahahahha usiombe kwenda kwa kutegemea lift then mwenye gari hana hata dalili ya kutoka
 
Back
Top Bottom