Harusi za msimu wa JK.

Hahah skuizi kuna harusi za ajabu, huchangishwi ila utalipia kila utakacho kula/kunywa..pamoja Na harusi nzima hamna Viti/makochi ukichoka sepa! Hiyo toroli imetisha..bila shaka ni kiramuu hapo!
 
Dili dili zinakauka -Pesa ya mlipa kodi ina nusurika
 
Mbona hadi leo harusi ziki hivo
 
Hilo toroli nalo linatoka kwenye freezer ama! Maana naona kama lina ukungu hv
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…