iw8 JF-Expert Member Jun 3, 2016 366 293 Jul 16, 2016 #3 Congratulations mh. Zitto kabwe. Mungu awabariki.
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 Jul 16, 2016 Thread starter #5 dan87 said: Hongera role model Click to expand... Unampenda huyo msaliti
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 Jul 16, 2016 Thread starter #9 maulana majaliwa said: Dah kumbe alikua bachela Click to expand... Hapana alikuwa Diploma
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 Jul 16, 2016 Thread starter #10 mshana jr said: Kaoa mdhungu? Click to expand... Hata mimi sijui
Freema Agyeman JF-Expert Member Mar 3, 2011 3,666 3,529 Jul 16, 2016 #11 Hongera Zitto. Ama kweli mapenzi ya college ni mwendokasi.
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,632 61,165 Jul 16, 2016 #12 Pole Mama Chachage field imeisha ajira kapewa Mwingine
WILLIAM MARCONI JF-Expert Member Apr 2, 2015 2,098 867 Jul 16, 2016 #13 Mungu awajaalie mzae mapacha mapacha!
maulana majaliwa JF-Expert Member Jun 3, 2016 261 140 Jul 16, 2016 #14 Bitoz said: Hapana alikuwa Diploma Click to expand... Ok kwa hiyo sasa hivi ameamua kuchukua masters kabisa dah hongera zake bhana
Bitoz said: Hapana alikuwa Diploma Click to expand... Ok kwa hiyo sasa hivi ameamua kuchukua masters kabisa dah hongera zake bhana
T TRUVADA JF-Expert Member Jan 6, 2014 4,539 1,772 Jul 16, 2016 #16 iw8 said: Congratulations mh. Zitto kabwe. Mungu awabariki. Click to expand... Mbona hatumuoni KAFULILA hapo mbona jamaa alimpa sana sapoti kwenye harusi yake
iw8 said: Congratulations mh. Zitto kabwe. Mungu awabariki. Click to expand... Mbona hatumuoni KAFULILA hapo mbona jamaa alimpa sana sapoti kwenye harusi yake
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 Jul 16, 2016 #17 Mbona hii arusi kama ya Kigalatia?
as1987 JF-Expert Member Jan 3, 2013 1,256 597 Jul 16, 2016 #18 diva bado anatangaza ala za roho au???