Harusi ya mwendokasi

Usitake kujua mikao yao ya faraghani...#%&*
 
Ayaaaa!!!Mwanawane mbavu zangu mie.,Naona umepiga ukunga wa kuomba msaada haujapata,umeamua kujishushia ka~castle light kako bariiiidi kwa kijiko.
View attachment 428744
Wanaume wa Dar huwa wanasema raha jipe mwenyewe. Sometimes ni vizuri kujicheka hasa kwa ushamba huu uliopitiliza kimo aisee hakuna namna kabisa...
 
Wanaume wa Dar huwa wanasema raha jipe mwenyewe. Sometimes ni vizuri kujicheka hasa kwa ushamba huu uliopitiliza kimo aisee hakuna namna kabisa...
Akhsante sana,mie hapa mbavu sina.,lakini ndio hivyo.....
 
Pengine jamaa anaweka mlengo wake kabisa, wa kupigwa deki mtalo na Mrs wake.
 
Hao sio wale wa greencity mbeya..???????
Nauliza tu maana hayo mapozi yanatia shakaa....

Ila huyo bibi harusi amekaa mkao wa kujihami vile, kwamba kikinuka tu....yeye ndefuuu....
 
Akitenguka shingo sijui atasema kilichomfanya abinuke hivo kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…