Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Huyu ni mwenzetu hapa jukwaani, lakini amenisikitisha sana kwa kutunyima mualiko wa shughuli yake
Heee Heaven on earth hata mie hukunialika?
Ha ha ha na kweli harusi ndo leo cherekochereko....Huyo bwana harusi mbona kafanana na BujibujiHeee Heaven on earth hata mie hukunialika?
Heee Heaven on earth hata mie hukunialika?
Ha ha ha na kweli harusi ndo leo cherekochereko....Huyo bwana harusi mbona kafanana na Bujibuji
lol ha ha ha...ndo tuko ukumbini ujue......ila huyo bw harusi wamenibambikia lol
ndo tuko ukumbini ujue......ila huyo bw harusi wamenibambikia lol
Huyu ni mwenzetu hapa jukwaani, lakini amenisikitisha sana kwa kutunyima mualiko wa shughuli yake
![]()
![]()
![]()
![]()
Bwana harusi hana majotroo. Mchuma kashauweka ndani. Mia
hahaaaaaa we si haukuchangia hata
Tobaaa matron kachelewa harusini naja bestito....ndo tuko ukumbini ujue......ila huyo bw harusi wamenibambikia lol
ndo tuko ukumbini ujue......ila huyo bw harusi wamenibambikia lol