Harusi ya kilokole mchango laki wizi mtupu

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Kuanzia leo sitachangia harusi ya kilokole zaidi ya buku ishirini.
Siwezi changia laki halafu niishie kupewa juisi ya azam na soda,..huu ni wizi mtupu!
 
Hahaaaaaa ujue umenichekesha sanaaa haaaaaa
 
Hahahaha juzi tu, watu waligoma kwenda kwenye harusi ya kisabato,
wakasema " unachanga bei kubwa af huduma inakua ndogo, c wangekua wanachangisha buku mbili tu, inawat0sha"
Uwiii
 
mkuu hizo Azam si ni 3000 wakati bia buku 2500 ila mimi nilidhani mchango ni hiari ya mtu kuchangia hapo kama kuna kiwango sio mchango bali ni kulipia entrance fee jambo ambalo linaondoa maana ya harusi na kujumuika kwenye sherehe mimi naona sasa ifike wakati wedding iwe bottle party kila mtu kuja na kinywaji chake na kununua msosi wake anaotaka
 
Hahahaha juzi tu, watu waligoma kwenda kwenye harusi ya kisabato,
wakasema " unachanga bei kubwa af huduma inakua ndogo, c wangekua wanachangisha buku mbili tu, inawat0sha"
Uwiii

Hahahaaaa we nae una vituko...... iyo buku mbili labda upikwe ugali
 
Mchango laki kisha wanawapa soda moja na tuubwabwa kidogooo!
 
Basi bora waalikwa waje na vinywaji vyao na misosi yao kwenye harusi lol!!!! hahahahahah...Njemba zinaweza kuchapa pilau ya mtu zikaanza kujichana wakati wa maakuli, yule mwenye pilau yake akaanza kupiga ukelele hii pilau yangu! hii pilau yangu!!! njemba nyingine zitakuwa zinaiba vilevi tu lol!!!!

Kuanzia leo sitachangia harusi ya kilokole zaidi ya buku ishirini.
Siwezi changia laki halafu niishie kupewa juisi ya azam na soda,..huu ni wizi mtupu!
 
Kuanzia leo sitachangia harusi ya kilokole zaidi ya buku ishirini.
Siwezi changia laki halafu niishie kupewa juisi ya azam na soda,..huu ni wizi mtupu!

Pamoja ya Kwamba Kutoa ni hiari... Unayo hiari ya kutotoa na sio kulalamika... malanyingi walevi halalamika kama sherehe flani haikuwa na Pombe. sasa imeandikwa "Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? Kuna mapatano gani kati ya Kristo na uovu? Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?"

Namimi naoliza "Kuna mapatano gani kati ya mlokole na Pombe?" Hakuna ushirika kati ya ulevi na kujazwa na Roho Mtakatifu...
 
kiherehere yako mkuu kutaka pilau
 
Hivi hakuna harusi ya makande tu na maji baridi au Pepsi au azam cola ndogo.
 
Pamoja ya Kwamba Kutoa ni hiari... Unayo hiari ya kutotoa na sio kulalamika... malanyingi walevi halalamika kama sherehe flani haikuwa na Pombe. sasa imeandikwa "Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? Kuna mapatano gani kati ya Kristo na uovu? Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?"

Namimi naoliza "Kuna mapatano gani kati ya mlokole na Pombe?" Hakuna ushirika kati ya ulevi na kujazwa na Roho Mtakatifu...
Tunachangia ili kuwezesha harusi,sasa kama harusi ni soda tutakupa mchango wa soda tu!
 
mkuu mimi nipo hapo sinza kwenye harusi nimetoa 50000 yangu eti kinywaji nimeletewa pepsi kwa hasira nimetoka nje kupiga viroba vyangu vya valeur vitano. Na muda huu nipo ukumbini nimeshawakaaaa... hawa wanazinguaa kinoma
 
kama harusi zenu hazina pombe acheni kutuchangisha pesa nyingi.
 
mkuu mimi nipo hapo sinza kwenye harusi nimetoa 50000 yangu eti kinywaji nimeletewa pepsi kwa hasira nimetoka nje kupiga viroba vyangu vya valeur vitano. Na muda huu nipo ukumbini nimeshawakaaaa... hawa wanazinguaa kinoma

wanazingua sana!wanataka cash ya kuanzia maisha.
 
Pamoja ya Kwamba Kutoa ni hiari... Unayo hiari ya kutotoa na sio kulalamika... malanyingi walevi halalamika kama sherehe flani haikuwa na Pombe. sasa imeandikwa "Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? Kuna mapatano gani kati ya Kristo na uovu? Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?"

Namimi naoliza "Kuna mapatano gani kati ya mlokole na Pombe?" Hakuna ushirika kati ya ulevi na kujazwa na Roho Mtakatifu...

Barikiwa mkuu....
 
Back
Top Bottom