Harusi ya injinia Muhaya!

Hahahah....picha za ukumbusho kwa mbwembwe hizo lazima akapigie kwenye project anayoifanya kwa wakati huo.
 
Kama kuna engineer Mhaya anatafuta mke, I am availableπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii ni professional social innovation. Siyo kila siku magari ya benz, hammer, harrier! Nasubiri mwarusha mmoja atumie punda kwenye harusi yake. Nitampa big up saaana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…