Harusi raha jamani...

huyo dada inabidi ajiulize why huyo jamaa anashangilia kwa kuruka namna hyo. that night !!
 
Mmmh ruka gani uvunjike mguu bure
 
Huyo anacheza zile ngoma za "Washomire"
 
angejua yaliyomo yamo au laaa??
asingeruka hivyo aiseeee
 
Anafurahia msosi wa uhakika wa kukaangiziwa badala na kuachana na junk foods zake ikiwemo mikate mikavu na juice ya ukwaju.

huyo dada inabidi ajiulize why huyo jamaa anashangilia kwa kuruka namna hyo. that night !!
 
mara nyingi hiyo furaha haiwi ya muda mrefu.
 
mwinine alibaniwa mpaka ndoa, kwanini asichekelee?
 
huyu jamaa alibaniwa mpaka ndoa, hapo anapasha misuli kujiandaa na tough game
 
Huyu jamaa sijui anajisikiaje akiona picha yake humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…