Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,383
Mbeya mwezi huu ni baridi kama uko kwenye freezer. Bar kuna heater na chini ya kila meza kuna jiko la mkaa watu wanakunywa huku wanaota moto
Ndiyo maana kule magonjwa ya zinaa hayaishi. lakini hii inaonekana kama Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia. Tanga ungeona mambo ya kiarab feki kibaooo.....hina za hajab, poda kibao usoni mwa mwanamke kumfanya awe mwarab koko, kanzu, n.k.