Harusi ilifanyaka kwa gharama kubwa sana

Harusi ilifanyaka kwa gharama kubwa sana

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
eca5c25fa05f910f0fd3917ac12486e1.600x.jpg
 
Hata uwe na pua kama ndonya, ukiwa na ndululu utakula vinono...
 
Teh teh kweli mwenye pesa si mwenzako yaani hiyo pua kama bukta ya mazoezi lol!!
 
Kuna walakini katika hii picha. Hebu angalia kwa umakini edge ya nje ya kilemba alichovaa 'ustaadh'... kuna ukungu wa kibuluu/kijivu kati ya kilemba na maua!!

Picha halisi haitoi huo ukungu!!!
 
Ndo mambo ya pesa lakini mapenzi wakiti mwengine huwa hayachagui

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
atakuw ni msalani huyu JF kuna raha sana
 
Back
Top Bottom