Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Sep 15, 2012 #21 Akitoka hapo hapo anagonga cha Arusha.
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 76 Sep 15, 2012 #22 Aiseee babaangu nasikia man u ya rombo inataka kumsajili
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Sep 15, 2012 #23 Crashwise said: Mwanaume kuwa na maneno kama haya ni aibu sana.. Click to expand... Amekugusa mkuu,au ndo ukipenda chongo unaita kengeza!?
Crashwise said: Mwanaume kuwa na maneno kama haya ni aibu sana.. Click to expand... Amekugusa mkuu,au ndo ukipenda chongo unaita kengeza!?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Sep 16, 2012 #24 kisoka kiroba kimoja kinakubalika kupunguza mafuta tumboni maana mpira uko tumboni, akizidisha ndio noma........
kisoka kiroba kimoja kinakubalika kupunguza mafuta tumboni maana mpira uko tumboni, akizidisha ndio noma........
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Sep 16, 2012 #25 Jembe la ukweli hilo, mbona wachezaji wangine wapenda ngono kwa sana, Big o Boban.
F follow me Member Joined Sep 15, 2012 Posts 24 Reaction score 2 Sep 16, 2012 #26 alafu ndo wanajifananisha na wakina xavi! hahaha....! huu sio mpira hapa bongo, ila hatuna jinsi tuendelee tu na ushabiki, jaribu kuvuta picha mtu kama roony anafanya hayo mbele ya fegurson! what next?
alafu ndo wanajifananisha na wakina xavi! hahaha....! huu sio mpira hapa bongo, ila hatuna jinsi tuendelee tu na ushabiki, jaribu kuvuta picha mtu kama roony anafanya hayo mbele ya fegurson! what next?