Haruna Masebu alihitajika sana utawala huu wa Magufuli

Huyu Masebo angekua Katibu mkuu wa Chadema, naamini Lowasa asingekubaliwa kuhamia chadema
 
Hili ni bomu tunalitengeneza, Wazalendo wenye mapenzi mema na nchi yetu hatuwezi kukaa kimya tutasema tu, ni afadhali uwakaribishe CIA kwenye mfumo wa nchi yako kuliko hawa Watusi wenye ajenda yao ya siri kuunda dola lao la kitusi ukanda huu.

Washauri wa Rais wasiogope kumwambia ukweli hawa watu hawaamini kabisa, tushirikiane nao kwenye mengine na siyo kuwaingiza jikoni.
Hivi mwanamke wakwanza mbona kasura kake kama kakulekule?yawezekana kwa mashemeji
 
Unamkumbuka Haruna Masebu?

Unakumbuka huyu jamaa wakati akiwa mkurugenzi wa Ewura aliambiwa na JK ashushe.

bei ya petroli....akamjibu live tena hadharani tu kuwa 'hakuna sheria inayompa mamlaka hayo' wakitaka wapitishe sheria kwanza.

Na baada ya sheria kupitishwa ndo Ewura ikawa na mamlaka ya kushusha bei na kupanga bei za mafuta...kushusha na kupandisha .'kwa mujibu wa sheria'...

Sasa watu wa aina siku hizi ni kama hakuna kabisa watu ambao sio waoga
wanaweza kuongea live sheria zinasemaje kwa swala husika bila woga
labda Benno Ndulu ingawa na yeye anasakamwa kwa kuongea tu ukweli sheria zinasemaje..

Leo nimemkumbuka sana Haruna Masebu.....mzalendo ,mchapakazi,asiye muoga kumwambia kiongozi wake ukweli.

Imagine kama IGP angekuwa anaweza kuwaambia wanasiasa tu ukweli kuwa katiba na sheria zinaruhusu shughuli za kisiasa na mikusanyiko ya kisiasa.....polisi haiwezi kufanya lolote wakitaka wabadili sheria.Na pengine kufuta kabisa vyama vya siasa.

Imagine Mkuu wa mkoa angekuwa na mtu anamwambia live 'agizo lako hili halipo kisheria' na kadhalika na kadhalika......labda matamko mengi ambayo hayana nguvu za kisheria yangekwisha.

Watu kama Haruna Masebu wanahitajika sana kipindi hiki.
Mkuu ni baba yako unampigia debe?
 
Back
Top Bottom