Na tule tumafuta😂🙌🏿
Wengi wanaoga lakini hawajisafishi😀
Hahahaha😂 siku hizi kuna nyavu za kichina zinauzwa buku.. Zinatakatisha lakini hazifikii dodoki.. Au chicha la nazi kule Tanga😀Ndio ndio mkuu. Zamani kulikuwa na MADODOKI, siku hizi siyaoni.
Yake yakikuwa yanasafisha mpaka dhambi mkuu! 😁
Huko makazini kwetu huko🙌🏿 ukisikia kazini kwetu kuna kazi...🥺
Watu wanainamishana sana na kushikishana kuta
Ni aidha kuna ugeni au wewe ndio mgeni kwenye daladalaLeo nimekutana na sura nyingi ngeni kwenye daladala
Hivi ni kwanini huwa inakuwa hivyo?Ufala mwingine wa harufu mbaya, wewe muhusika unakuwa huisikii! 😆
Hahahaha😂 siku hizi kuna nyavu za kichina zinauzwa buku.. Zinatakatisha lakini hazifikii dodoki.. Au chicha la nazi kule Tanga😀
Ndio mtu aende nayo kwenye daladala? Si huwa wanaoga?Ile harufu ukitoka kufanya mar2c
Hivi kwanini hawaogi? Watu wana ujasiri sana jamani!🫢Chukulia mmetoka kuvuana pichu afu msioge, ndo janaba ile bimkubwa! 😁
Hivi ni kwanini huwa inakuwa hivyo?
Mtaalam wa maswala ya harufu mbaya Intelligent businessman please assist us.
Muwe mnaenda na sabuni zenu mtaumbuka🤣Tule tusabuni twa gesti tule! 😁
Waoge maji ya fugo loh🤢Kuna vikwapa havisikii maji wala pafume
Mzee wa miaka 56 hujui haya?🤷🏽♀️Hivi nyashi laini ni matokeo ya nini Mshana?
Unavijua?🤣daah vifuniko vya asali 😂😂
Khee kumbe linakuoga kitaalamu tofauti na oga hii hii ya maji na showergel? Kuna kubinuka vya aje tena mkuu?Watu wengi Me na Ke hawajui kuoga janaba.
Hawaheshimiani kiasi hiki?🫢Huko makazini kwetu huko🙌🏿 ukisikia kazini kwetu kuna kazi...🥺
Watu wanainamishana sana na kushikishana kuta