Harufu ya viungo vya uzazi!!!

Waulize watu wa Katanga, Zambia huko, ndo watakwambia uzuri. Hata mwanamke awe mzuri vipi kama hatoi PAFYUMU husika ya kutosha huyo hana soko. Inatakiwa Akichojoa tuuu, chumba zima limesheheni Manukato Original, Hapo kwao BARIDAAAAAAA!!!!!!1

Tembea uone!

Ni kweli;na ndio maana hawanyoagi mananihii!
 
Sijawahi kujua kama mwanaume anaharufu ya uume hata siku moja ila zile k kwa baadhi ya wa dada unaweza ukapiga kimoja uka juta hadi unajiuliza kama yeye hakereki
 
Chezea wazungu. Anything they can put a price tag on, they will. Anything they can put in a bottle and sell, they will.

vulva-perfume.jpg





Ngumu kwangu kuamini matumizi ya pafyum zinukiazo harufu ya viungo vya uzazi kuleta hisia za mapenzi! mnaonaje wanajf?
 
Hapa ngeli haijapanda vizuri, hebu fafanua;

1. Yaani hiyo perfume inapulizwa kwenye kiungo cha uzazi, au inapulizwa mwilini lakini harufu yake ni kama kiungo cha uzazi?
2. Hivi viungo vya uzazi vina harufu maalum/fixed/known au vinatofautiana !! :confused2:

Vina harufu ya mchere mchere
 
Back
Top Bottom