Harufu ya ushuzi Inatokana na chakula unachokula au inakuaje?

Dah huwa namshangaa sana Mungu, ina maana hadi wakina Obama, Beyonce, watu wazito wazito duniani na wao wanajamba?? Dah kweli life siyo fair kabisa. Eti Dangote,Mo, Bahresa, na wao wanajamba eti dah

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Halafu unaweza kukuta vijambo vyao ndio hatari sana kuliko hata watu wa chini mkuu...! 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom