Harufu ya ufisadi Wizara ya Elimu enzi za Sitta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harufu ya ufisadi Wizara ya Elimu enzi za Sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwana siasa, Jun 3, 2009.

 1. m

  mwana siasa Senior Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa maeneo ya Dar es salaam mi ni mkazi wa sinza, ila kuna siku jamaa yangu mmoja anayeishi maeneo ya masaki alitaka tukutane nami nikaitikia wito wake.Tulipanga na tukakutana Dids bar iliyopo oysterbay opossite Jackies bar.

  Bada ya kukaa kwa muda nilimwona anaingia mtu mmoja kwa jina la Ben sita (kama nilivyoelezwa na wenyeji)alikuwa na wapambe wengi mno wapata kumi pamoja na rafiki yake wa kike - Dj fetty wa clouds.

  Nilijiuliza huyu jamaa anapiga ishu gani hapa mjini kiasi cha kuweza kutoa entertainment kwa watu wengi kiasi kile.Jamaa yangu huyo akaniambia kuwa bwana mdogo ana pesa vibaya sana kiasi cha kuweza kumwamisha mzee aliyekuwa anamiliki nyumba hiyo na kisha akainunua na mbele amekodi bar ya dids kwa mwekezaji.

  Nikafanya utafiti juu ya uwezo wa kifedha wa bwana huyu.Nikagundua kwamba ana kampuni ambayo ilipewa tenda kubwa na wizara ya elimu, at the same time ilicost a lot of taxpayers money.Na suddenly maisha ya kiuwezo ya huyu bwana yalibadilika gafla.soma chini tafadhali -

  source http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=2594

  I was delighted to read the article about the new system in Tanzania that would enable the public and national examination candidates to have access to national examination results through mobile phone text message (SMS). The system has been launched and is already in place.

  The Managing Director of Easy Life Group, Benjamin Sitta said the use of the mobile phone in accessing results was a newly introduced programme that would be used to relay results from Standard Seven national exams to higher learning and teacher training colleges for those who would have attained grade A.

  Communication forms an important aspect of human life and as such where there is no communication there are bound to be problems.

  With the vast technological advances taking place, a lot has changed in the way information is passed from one person to the other.

  Technological advances particularly related to the mobile phone have resulted in information being passed on in the shortest of time.

  Different kinds can now be accessed from a mobile phone. Companies are now using mobile marketing as a way to advertise their products and services that they offer through SMS.

  This is a more focused and effective way of marketing which is being employed in most countries.

  Network providers have also made it possible to access email over mobile phones. This is convenient to the network subscribers as they don’t need to be only limited to finding an internet café in order to check their emails.

  They can now do so in be it in a daladala, in bed, in the kitchen or wherever there is network coverage by their provider.

  Besides emails SMS on mobile phone also now being used to make important notices and announcements like SMS broadcasted to all network subscribers for stolen or lost property like vehicles.

  In such cases information is disseminated easily and quickly to a large number of people. The new system of accessing national examinations results through SMS would mean people living in remote areas hundreds of kilometers away from their nearest district offices who in the past would have to travel to get their mobile phones. This would involve spending just over Sh320 per message.

  It requires the client to type just MX then a centre number and candidate number, and send this to 15771 and then wait for the results.

  sijaicopy yote mana ni ndefu sana.

  Sasa swali langu kwa wanaosoma bongo , ni kweli kuwa hii system iko accurate au ndo dili la kujipatia vijisenti kiasi cha kununua nyumba prime areas?kumbuka hata wakina lukaza ilianza hivi hivi tena wakaonekana wajasiliamali.

  Je hakuna mgongano wa kimaslahi btn mama sita namwanae mana yeye ndo alokuwa waziri na mtoto ndo kapewa tender?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mtoto wa Sita?

  Huu ni Ufisadi mwingine!
   
 3. m

  mwana siasa Senior Member

  #3
  Jun 4, 2009
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yaa ni mtoto wake ana pesa utadhani anafunguo za BOT.
   
 4. C

  Chuma JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani huyu ndio Mtoto wa Mzee Sita kule Bungeni...? nae ana harufu ya mmhhh.....au ndio vita vya mapapa na manyangumi wenyewe kwa wenyewe....inaendelea...? then wananchi tunaambiwa huyu Mpiganaji na Huyu Fisadi...kumbe Maslahi yao binafsi wanayapigania then wanataka mtaji wa wananchi....!!!

  Tunakazi wa TZ...!!!

  Labda mleta mada utusaidie kutuwekea habari kama huu utaratibu wa SMS ulitangaziwa tender au la...na Mchakato wake ulikuwa vipi?

  ... na Kwanini haukujulikana mda wote?
   
 5. C

  Chuma JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Imebidi nicheke kiaina kwa bandiko hili...!!!
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hii ilikuwepo sana mjini last week lakini nilishangaa bado haijapita humu
   
 7. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lakini afandhali huyu anajituma kufanya kazi, Ben anakampuni zisizo pungua 6...(funny enough) and he actually works hard albeit milango inafunguka tuu mbeleyake.. but at the end of the day.. he does the walking. Ile nyumba hajamhamisha mtu.. mama yake alipokuwa waziri wa elimu aliuziwa na serikali.. Ben anaitumia kama ofisi tuu until wazee wake waamue wataifanyia nini... Watoto wangapi wa vigogo wapo tuu wanakula bangi kwa kwenda front.. mtu anaenfanya kazi na anatumia akili kufikiria mimi sioni kama ni tatizo sana considering he is bringing a vital service na ina a lot of innovation.. Wabongo tumezidi mambo ya kuuza magari, maduka ya dawa, saluni, bar.. Kama mtu anakuwa na biashara yake unique atakama it has high barriers to entry na amepewa ka tafu.. sio mbaya.. thats what parents are for.. Hakuna cha ufisadi wala chochote hapa.. Katumia connections alizozaliwanazo kujiendeleza.. I would do the same.. and I am.
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa hili nabidi nikubaliane na wewe mkuu. Hakuna mtu anaye endelea bila connections duniani iwe commercially au politically. At some point or another mtu unabidi upewe tafu. Wangapi wanaomba ndugu zao wawaunganishie sehemu au kwa mtu anaye weza kumsaidia? All of us we use what ever advantages we have to move forward na kama you don't basi uta baki nyuma kila siku. Siyo ufisadi kwa mtu kuwa connected sehemu fulani na wazazi wake as long as mtu ni capable. Tukubali au tukatae all of us here would jump at a chance to succeed if we found one. Hata mimi if I can get the chance this guy has I would take it. If we concentrate more on networking ourselves rather then finding faults or suspicion on any one who succeeds na sisi tuta fika huko. Au kwa ajili mtu ni mtoto wa vigogo mna tegemea aishi kimasikini ili msi muone fisadi? We can keep talking but the guy is moving forward.

   
 9. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hiyo system inatakiwa isiwe pesa nyingi; inategemea alilipwa ngapi. Technology hiyo ipo muda mrefu na inatumiwa hata na vikampuni ambavyo kwa mfano ni agents tu kwenye mashirika ya simu. Matokeo ya mitihani ni database ndogo sana ambayo kuitengenezea system yake hata wanafunzi wa vyuo vikuu wanaweza kufanya.

  Tatizo la TZ hizo kazi wanapeana wakubwa na malipo hata yanakuwa mara 100 ya bei halisi; wajinga ndio waliwao.

  Kwani ni nani alisema Sitta ni clean? Ni yale yale ya Mkapa tu, ukimchunguza unapata madudu kibao.
   
 10. A

  August_Shao Senior Member

  #10
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  tenda ilitangazwa au ndio connections?
   
 12. M

  Msuruhishi Member

  #12
  Jun 4, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Kwa taarifa za uhakika nilizo nazo ni kwamba nyumba ile hakununua mwana wa Sitta. Nyumba ile 'kauziwa' Mama Sitta, mke wa Spika katika ule mpango wa kifisadi wa kuuziana (soma 'kupeana') nyumba za Serikali; ambazo ni mali ya umma wa Watanzania. Kwa hiyo Spika Sitta anakodishiwa na kodi yetu nyumba ya kuishi kama Spika huku hatua zikichukuliwa kumjengea nyumba 'yenye hadhi'. Wakati huo huo mke wake kauziwa nyumba ambayo ndiyo anatumia huyo kijana wao kama danguro! Imagine aliondolewa kwenye nyumba ile Jenerali mstaafu ili auziwe Mama Sitta na sasa nyumba ni danguro! Back to you all.
  Msuruhishi
   
 13. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2016
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Nikisoma nyuzi kama hizi Kiukweli ndo maana nasema ngoja Magufuli atunyooshe waTanzania!

  Tumeiba vya kutosha. tumenyanyasa wananchi wanyonge vya kutosha. Magufuli kazi buti. Chonga mbele!
   
Loading...