Harufu ya Ubwabwa

Mtoto wa shangazi yangu alikula papai kwenye chano lilikuwa limekatwa vuzuri. Aliugua nusra mauti yamkute. Pona yake anaanguka kufafa mpaka iTunes U uzimani mwake.

JE UKIKUTA KITU KAMA HIKI NA UNA NJAA

Biryani In Chennai


Hyderabad
 
Nyoka anajibadili badili rangi?

Hebu niweke sawa hapa zaidi.

Ni aina gani ya nyoka wana uwezo huo?

Wanapatikana wapi?
 
Mtaani kwetu kuna kijana anaitwa bampunga
Sifa yake yeye siku yoyote kukiwa na harusi mtaani au nje ya mtaa basi yeye atajua kama kuna ubwabwa
Siku akikutana na io kitu watampoteza kabisa
 
Nyoka anajibadili badili rangi?

Hebu niweke sawa hapa zaidi.

Ni aina gani ya nyoka wana uwezo huo?

Wanapatikana wapi?
Wale wakubwa aina ya 'sawaka', wakubwa kama chatu, wanaishi kwenye misitu minene ama kwenye mapango ya milima.
Kwa mfano mbwa akimpitia anga zake, huyo lazima 'aende'.
Huwa ana 'change colour' za kuvutia akiwa ametulia.
Rangi hizo huvutia wanyama wengine na kujisogeza kushangaashangaa na kijikuta wakinaswa kiulaini.
 
Nimeingia online.

Nimekuta kwamba kuna nyoka (siyo chatu) anaweza kubadili rangi lakini ni nyeupe tu na siyo 'za kuvutia'

Kuna chatu wapo Australia wanabadilika rangi ila ni kwa kadri muda unavyoenda ili kuendana na mazingira. Atatoka kwenye bright yellow mpaka kwenye emerald green.

Ni dhahiri kwa namna hiyo ya kubadilika haiwezi kutumika kumtegea mnyama.

Naomba reference ya nyoka ulionitajia nijisomee.
 
Kwa jinsi nilivyosikia enzi hizo hapo kuna nyoka,
Usikae hapo mkuu
 
Nilikuwa nikiisikia hiyo harufu ya ubwabwa; natoka mbio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…